Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he makubwa haya kumbe usipokuewa na G/F watu wanasema ww ni Gay ..loh mbebamabox hebu lete habari za kweli na kuaminika kuhusu Craig..
nimepigwa na Butwaa ....
blames his sexual inexperience as a teenager for past reports suggesting he is gay. The WALKING AWAY hitmaker - who has previously dated actress SOFIA VERGARA
and models ROXY INGRAM and AIDA YESPICA - insists he shied away from female fans early on because he was intimidated by their age and experience. He says, "Those rumours started back when we were playing RE-REWIND in the clubs. All these women in the audience were interested in me, but I was having none of it. "Why? Well, you know, I was 17, still relatively inexperienced, sexually speaking, and these women were - what 24, 25. They terrified me."asante sana mbebabox ...nashangaa tangu nimesingia zile song zake " am walking away mpaka leo sijamsikia tena
he makubwa haya kumbe usipokuewa na G/F watu wanasema ww ni Gay ..loh mbebamabox hebu lete habari za kweli na kuaminika kuhusu Craig..
nimepigwa na Butwaa ....
he makubwa haya kumbe usipokuewa na G/F watu wanasema ww ni Gay ..loh mbebamabox hebu lete habari za kweli na kuaminika kuhusu Craig..
nimepigwa na Butwaa ....
Nimeandika usipokuwa na girlfriend kwa MUDA MREFU na nina ongelea macelebrity.Kutokana na umaharufu aliona na kutokuwa G/F kwa muda mrefu, wanawake wengi wanakuwa wanajisogeza akiwatolea nje wanakuwa wanatafsiri tofauti na wanapeleka newspaper.he makubwa haya kumbe usipokuewa na G/F watu wanasema ww ni Gay ..loh mbebamabox hebu lete habari za kweli na kuaminika kuhusu Craig..
nimepigwa na Butwaa ....
FL1, nimecheck kwenye website aliyotoa mbebabox. Kwanza I'm sorry kukuambia kwamba handsomeness ya jamaa imekwenda chini sana, unaweza kufikiri sio yeye. Lakini pili unaonekana kumkubali sana, hivi karibuni atakuwa na shows 3 tarehe 15, 24 na 25 July huko Manchester na Sheffield. Kutokana na upendo wangu kama mtanzania halisi niko tayari kukusponsor ukwee pipa ukamwone live. Nitagharamia kila kitu, visa, air ticket, pocket money na pesa ya kununua zawadi, usafiri (ground transport) na malazi na chakula kwenye hotel ya nyota 5 sio 3 kama WOZA. So the choice is entirely yours FL1.
Hapa nilikuwa bado kuona ..
FL1 Tahadhali; be careful hakuna offer iliwahi kuwa bure. Kazi kwako.Offer bado iko wazi lakini FL1
FL1 Tahadhali; be careful hakuna offer iliwahi kuwa bure. Kazi kwako.
Hivi huyu mshikaji atakuwa amefulia?
![]()
David: 'I'm Not Gay'
All these women in the audience were interested in me, but I was having none of it. "Why? Well, you know, I was 17, still relatively inexperienced, sexually speaking, and these women were - what 24, 25. They terrified me."
FL1 Tahadhali; be careful hakuna offer iliwahi kuwa bure. Kazi kwako.