Craig David ..Hivi huyu handsome boy alipotelea wapi?

ya man, enzi hizo i liked the guy so much, had all his songs playing thru my walkman if you no wora am seying. atakuwa amenibore sana kama kweli ni shoga.
 
he makubwa haya kumbe usipokuewa na G/F watu wanasema ww ni Gay ..loh mbebamabox hebu lete habari za kweli na kuaminika kuhusu Craig..
nimepigwa na Butwaa ....

FL1, nimecheck kwenye website aliyotoa mbebabox. Kwanza I'm sorry kukuambia kwamba handsomeness ya jamaa imekwenda chini sana, unaweza kufikiri sio yeye. Lakini pili unaonekana kumkubali sana, hivi karibuni atakuwa na shows 3 tarehe 15, 24 na 25 July huko Manchester na Sheffield. Kutokana na upendo wangu kama mtanzania halisi niko tayari kukusponsor ukwee pipa ukamwone live. Nitagharamia kila kitu, visa, air ticket, pocket money na pesa ya kununua zawadi, usafiri (ground transport) na malazi na chakula kwenye hotel ya nyota 5 sio 3 kama WOZA. So the choice is entirely yours FL1.
 

David: 'I'm Not Gay'


British R+B star CRAIG DAVID blames his sexual inexperience as a teenager for past reports suggesting he is gay. The WALKING AWAY hitmaker - who has previously dated actress SOFIA VERGARA and models ROXY INGRAM and AIDA YESPICA - insists he shied away from female fans early on because he was intimidated by their age and experience. He says, "Those rumours started back when we were playing RE-REWIND in the clubs. All these women in the audience were interested in me, but I was having none of it. "Why? Well, you know, I was 17, still relatively inexperienced, sexually speaking, and these women were - what 24, 25. They terrified me."
 
he makubwa haya kumbe usipokuewa na G/F watu wanasema ww ni Gay ..loh mbebamabox hebu lete habari za kweli na kuaminika kuhusu Craig..
nimepigwa na Butwaa ....

waingereza wanayo concept hii mbovu, kama huna GF muda mrefu au hujaowa wanakupakazia shoga , huyu jamaa walimpakazia akakanusha ,nakumbuka hata Robbie williams waliwahi kumpakazia ushoga .
 
he makubwa haya kumbe usipokuewa na G/F watu wanasema ww ni Gay ..loh mbebamabox hebu lete habari za kweli na kuaminika kuhusu Craig..
nimepigwa na Butwaa ....

jamaa yuko STRAIGHT........ila kama walivyosema wadau wengine ni wale wanaume wanaojipenda kuliko wanavyopenda hata mademu wao
unajua huko UK kuwa gay sio issue sasa kwenye interviews unaweza kuulizwa:
UNAFIKIRIA NINI KUHUSU GAY REELATIONSHIP???
mtu kama CD inabidi ajibu I DONT MIND/ITS OK/ITS COOL......you know why?POLITICAL CORRECTNESS.....akisema SITAKI KUSIKIA GAYS kesho magazeti yote yatajaavichwa vya habari CD NI HOMORPHOBIC hivyo atapoteza fan base.
Na kutokana na majibu yake kuwa its ok kesho tena wataandika kuwa jamaa na GAYS DAM DAM hapo iko wazi kila mtu kutafsiri atakavyo...
 
he makubwa haya kumbe usipokuewa na G/F watu wanasema ww ni Gay ..loh mbebamabox hebu lete habari za kweli na kuaminika kuhusu Craig..
nimepigwa na Butwaa ....
Nimeandika usipokuwa na girlfriend kwa MUDA MREFU na nina ongelea macelebrity.Kutokana na umaharufu aliona na kutokuwa G/F kwa muda mrefu, wanawake wengi wanakuwa wanajisogeza akiwatolea nje wanakuwa wanatafsiri tofauti na wanapeleka newspaper.
 


Hapa nilikuwa bado kuona ..
 
FL1 Tahadhali; be careful hakuna offer iliwahi kuwa bure. Kazi kwako.


Kweli kabisa Mchukia Fisadi ...haipo na haitawahi kuwepo labda offer ya wokovu yenyewe inapatikana bure kwa kuamini na kukubali:A S 103:
 
Jamaa nilimfeel hata mimi pia! Kweli tuleteeni mamboz na anai anajua hatima ya wale jamaa wa Born Thugz n' Harmony?
 

Nikisema Women ni devils nitaandamwa hapa unaona hata Star Craig alivyowaogopa!
 
Nguli asante Huyu jamaa ni mrembo kweli kweli ama anatumia ma-powder??
 
FL1 Tahadhali; be careful hakuna offer iliwahi kuwa bure. Kazi kwako.

Mchukia Fisadi nashauri ubadilishe jina kwani naona unatuchukia hata tusio mafisadi. Napendekeza uitwe "Mchukia Fisadi na Wasio Mafisadi" Teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…