FL1, ukweli ni kwamba hii offer si bure itanigharimu mimi mamilioni ya tsh ila wewe hutatoa thumni, nitagharamia kila kitu. Hata hayo mengine aliyopreworn Mchukia Fisadi hatayakuwepo ondoa shaka. Wengine tumeumbwa kuwafurahisha wengine pasipokudai chochote in return, trust me you.
he makubwa haya kumbe usipokuewa na G/F watu wanasema ww ni Gay ..loh mbebamabox hebu lete habari za kweli na kuaminika kuhusu Craig..
nimepigwa na Butwaa ....