Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
CCM nayo itafariki lini?[emoji53][emoji53][emoji53]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mlifaidi kweli,siku moja namwambia mzee wangu ukiskia King khan ndo huyu movie zake hatari,akanambia simjui lakini zile tulizoangalia sisi za kina Jim Kelly hatari zaidi,alinisimulia mpaka nikatamani ningewepo.Alituburudisha vijana wa Kitanzania kwa wakati huo.
Akiwa kwenye three the hardway...Na mlifaidi kweli,siku moja namwambia mzee wangu ukiskia King khan ndo huyu movie zake hatari,akanambia simjui lakini zile tulizoangalia sisi za kina Jim Kelly hatari zaidi,alinisimulia mpaka nikatamani ningewepo.
Hakuwa teja kwanza kabla ya kufa aliokoka .R.I.P Craig MackMadawa ya kulevya huwa hayaachi moyo salama
Acha uchawi ww the nigga was cleanMadawa ya kulevya huwa hayaachi moyo salama
Amenisimulia ya One Down,two to go.Akiwa kwenye three the hardway...
Alikusimulia hiyo?
Na mlifaidi kweli,siku moja namwambia mzee wangu ukiskia King khan ndo huyu movie zake hatari,akanambia simjui lakini zile tulizoangalia sisi za kina Jim Kelly hatari zaidi,alinisimulia mpaka nikatamani ningewepo.
Alituburudisha vijana wa Kitanzania kwa wakati huo.
hhhaaaa dah ccm wametufikisha huku
Sijui umri wako Ng'abu ila mzee wangu ana zaidi ya miaka 60.Duh!
So mimi ninalingana na mdingi wako?