Crane: Ndege anayesimama kama nembo ya taifa la Uganda

Crane: Ndege anayesimama kama nembo ya taifa la Uganda

Boss, kwa uelewa wangu najua Korongo ni bwana afya. Ila crane sijui kiswahili chake. I stand to be collected though...
Ndio maana nikakwambia kuwa yule kwenye Bendera ya Uganda wamekuambia ni Crane (Korongo) na sio ( Kongoti Korongo)ambae ndio huyo unayesema bwana afya au Marabou stork

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwenyewe sijaelewa ulikuwa unataka kuelezea nini katika hadithi yako ambayo, kimsingi kama ilitaka kuenda mahali Fulani hivi, sema ikaishia hewani, sasa sijui kabla hujamalizia sentensi uliibiwa simu sijui

ROmanus FAdhali COsmass Lengu(ROFACOL)
 
Back
Top Bottom