Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Ndio maana nikakwambia kuwa yule kwenye Bendera ya Uganda wamekuambia ni Crane (Korongo) na sio ( Kongoti Korongo)ambae ndio huyo unayesema bwana afya au Marabou storkBoss, kwa uelewa wangu najua Korongo ni bwana afya. Ila crane sijui kiswahili chake. I stand to be collected though...
Crane ndio Korongo.Boss, kwa uelewa wangu najua Korongo ni bwana afya. Ila crane sijui kiswahili chake. I stand to be collected though...