Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido


How dunce are you? SMH!
 





Every one for himself but God for us all ajipigie kura mwenyewe huyo mnaemuita diamond
 
baada ya kuoa mganda kaita wanawake wa tz makombo, huu ni uzalendo sana na yafaa tumlipize
+aliita wapi wanawake wa tz makombo we ulimsikia au unachukulia mambo kwa hisia na imani embu evidence ya kuita wanawake wa tz makombo.

+twende kwa fact sio kufuata mkumbo na hisia
 

haya twendeni kwenye mpambano....hakuna jaji atampa vote diamond amuache davido...davido level ingine
 
Mm sioni Hoja muhimu zaidi ya chuki binafsi dhidi ya Diamind na wivu wa baadhi ya sisi watz
 
+aliita wapi wanawake wa tz makombo we ulimsikia au unachukulia mambo kwa hisia na imani embu evidence ya kuita wanawake wa tz makombo.

+twende kwa fact sio kufuata mkumbo na hisia
hakumuita joketi kombo?KAMA HAKUONGEA kwa nini hakukanusha ile habari hata kwa kutumia account fb zake kma media zinapotosha???

kumuita x kombo ni sawa kunitukana pia mimi kwa kuwa nina x wangu so najihisi makombo
 

Hahahaaa ww chibokoo kweli mondi kakuudhi.
 
Katuloga nani Wabongo ?
Mungu wangu, siamini km haya ni maneno ya Mtanzania.

Diamond anaiwakilisha Tz haibadiliki. Davido anaiwakilisha Nigeria.

Duuh

Yaani kama ni kama ni kweli mondi aliudhi watu kiasi hiki itabidi aombe radhi maana wabongo wakiamua hwakawii kweli kumpigia kura davido maan watz ftna tunazijuagaa duuuh
 
Tanzania hapa tulipo fikia hadi shetani anaona aibu!!
 

Mbona hukulalamika south africa walipompigia kura Idris BBA na kumuachs mshiriki wao. Au hukuona even baadhi ya stars walikuwa wanashawishi watu wapigie kura Tanzania BBA ilihali kuna washiriki wao kule. Sio dhana potofu kumpigia kura davido wakati diamond pia anashiriki.

Mshauri bosi wako ajiangalie upya na atafute sababu za kuchukiwa hivi na baadhi ya watanzania. I SAY VOTE FOR DAVIDO AND VEE MONEY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…