Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Nimeamini sisi wabongo tuna wivu wa kijinga sana.....

mbona mwaka jana tulimpigia akashinda tuzo sana ktma na hakukuwa na maneno ila leo mwenzie kashinda mnaanzisha maneno
mbona hajashukuru hata kwa tuzo mbili za nyumbani ktma????hii si dharau
 
Has Diamond ever come forward kukanusha anything magazeti ya udaku yameandika? Lini umeshaona Diamond anakanusha anything because magazeti ya udaku yameandika. If he was to do that angeshinda akikanusha magazeti 24/7 because they all write hear say or make believe stories. You will have to be in his shoes to understand that life. Do you believe everything Global au udaku magazeti write? Maana hiyo habari iliandikwa na udaku na we all know hakukua na uthibitisho. Hivi have you wondered je kama all that was a lie just so the so called newspaper could sell copies or it was written by a journalist who hates Diamond kwa sababu zake binafsi? Kama huamini story nyingi za udaku why would you believe this?

Rais lazima alale Mbeya kwenye hotel yoyote because yeye ni rais na kama Mbeya hakuna hotel ya maana ya Rais kulala then it is the president's shame. So referencing the president is a poor attemp to justify your hatred. Rais alieenda kuomba kura Mbeya will have to go to Mbeya regardless of hotel standards. Diamond is a business man, it is business and he has a choice to conduct it the way he sees fit.

Sasa wewe hujampigia kura Diamond but una mention that hajashukuru waliompigia kura. I think he made it clear a few weeks ago how he felt about KTMA, please go back and read his post you will understand. Tanzanians, God!! why do we feel so entilted? Why make it look like the boy owes his life to us? If we were all this personal about the future of our country and make mafisadi and leaders accountable..believe me we would be far!


achana nao tutapiga sie Tu,usijichoshe kuandika
 
le mutuz kafuta ile post watu wamemchamba degree3 hujui fake account
 
na bado mwakani ataambulia kreti la kilimanjaro beer......hatapata hata tuzo moja..aendelee na biashara ya kutangaza mimba
 
Yeah, because he has to marry to please you. Let him live his life. What a stupid excuse.

jiunge kwenye kampeni na kuanzia kesho link inasambazwa katika kila social media ndani na nje ya nchi
 
+aisee hii ni aibu sana kwa wabongo mbele ya mataifa mengine. Hata kama ni ugomvi baina ya mashabiki wa timu mbili haijafikia hatua hiyo hata hao wanaija wenyewe watatushangaa wakisikia hii.
 
Hivi lukelo sakafu yuko wapi? Angekuwepo leo jukwaa lingechafuka.
Simpatii picha akiingia humu!
 
Last edited by a moderator:
le mutuz kafuta ile post watu wamemchamba degree3 hujui fake account

Hahahahaaa, ngoja niende mkuu.
Huyu aliyeanzisha hii pia kungekua na option ya kufuta angeshaifutilia mbali!
 
Niunge na mimi mkereketwa bora nipigie kura jiwe kuliko domo
 
MTV Awards siyo KTMA! Ukipitia hzo comments directly hata kama siyo mtz unapata pcha watz ni watu wa namna ip! i appriciate evryone's feelings, you do what you feel at the right time, at the right place, with the right amount and in the right format!
 
+aisee hii ni aibu sana kwa wabongo mbele ya mataifa mengine. Hata kama ni ugomvi baina ya mashabiki wa timu mbili haijafikia hatua hiyo hata hao wanaija wenyewe watatushangaa wakisikia hii.
baada ya kuoa mganda kaita wanawake wa tz makombo, huu ni uzalendo sana na yafaa tumlipize
 
Back
Top Bottom