AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
stay away from this pliz!
Shame on you, nani msukule.
Acha roho ikuume looser
VOTE kwa VANESSA MDEE na DAVIDO kwa kutumia link hii hii aliyoweka huyu MSUKULE
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
stay away from this pliz!
Msukule wewe hapo na bosi wako kibwengo. VOTE FOR VEE MONEY VOTE FOR DAVIDO
Kweli hakuna namna nyingine sasa, mkuu tupia link ya Davido tumpe kura mwafrika mwenzetu maana hata waasisi wetu Nyerere na Nkwame nkurumah walisisitiza umoja wa Africa.
Africa kwanza Tanzania badae
Nimeamini sisi wabongo tuna wivu wa kijinga sana.....
VOTE kwa VANESSA MDEE na DAVIDO kwa kutumia link hii hii aliyoweka huyu MSUKULE
Sawa msukule hata maji haujui kama utakunywa leo nakuonea huruma, umasikini na akili za standard 9 ndio tabu udidahau kuchukua dekio kufuta machozi ya njaaaaaaaaa
Unatamania ungekuwa Diamond pole mtoto wa Tandake yupi juu, ushindi mmepata bado roho zinawauma tatizo nyotaaaaaaaaa
Haya andika facts Musukule weye wa 1st class aka mburulaz aka zingifuri.
Bye
Usisahau
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
BONYEZA BONYEZA USICHOKE VOTE kwa VANESSA MDEE na DAVIDO kwa kutumia link hii hii aliyoweka huyu MSUKULE
Kaa na umasikini wako unalikia kuona waliobarikiwa wanashuka, utakufa na roho hiyo hiyo.
Fanya kazi sii kuonea wengine wivu.
Kama mimi msukule basi wewe ni mmoja wapo ndio ukajua mimi niko kama wewe.
Unahitaji ndimu.
Ooh masikini weye oooooooo
Sali siku yako itakuja utapaa na ndege wa angani mtazuzura pamoja
lmao
Ndimu nshakula sana na umaskini nshakaa nao sana. Mimi na wewe tupo JF hao wanaotufanya tutofautiane wako nje ya nchi tena wameenda kwa ndege. So sishangai wewe ni maskini mwenzangu VOTE VOTE KWA VANESSA MDEE NA DAVIDO
Ooh masikini weye oooooooo
Sali siku yako itakuja utapaa na ndege wa angani mtazuzura pamoja
lmao
Hahahahaaa, sijawahi kucheka kama leo kwakweli!
Hao level nyingine mi saizi yangu wewe wote MB 8. Utajiri wetu kushinda JF hapa ni kama tupo KEMPINSKI