Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Ndo maana watanzania hatuendelei ni wivu, roho mbaya, husda, unafki etc God have mercy!
 
Msisahau kupigis kura na Baba zenu na waume zenu pia mkimaliza kuwapigia kina Davido sawa
 
+Yaani bora kama mmeamua kupiga kura kwa wanaija ili Diamond asishinde mngepiga kimya kimya kuliko kujitangaza hadi nyuzi mnaanzisha mnajiweka kwenye risk sana endapo akishinda sijui mtaweka wapi sura zenu!
 
Hii Thread inatufunua mioyo yetu wabongo tulivyo na miroho mbaya kwanzia ngazi ya familia mpka ngazi ya taifa. MUngu huko aliko anatushangaa.
 
+Yaani bora kama mmeamua kupiga kura kwa wanaija ili Diamond asishinde mngepiga kimya kimya kuliko kujitangaza hadi nyuzi mnaanzisha mnajiweka kwenye risk sana endapo akishinda sijui mtaweka wapi sura zenu!

Kwani akishinda nitakufa au? Kwendraaaa, unamtisha nani sasa?
Ashinde asishinde I don't care.
JF nitakuwepo kama kawa, sioni cha kunikosesha amani humu.
 
Hivi hii post hapa chini aliipost nani vile
Soma ulichopost na unachokataa hukupost
We jiandae na matusi mkuu

Ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu nzuri

Mkuu huyo manzi ni kilaza balaa
Anagubu huyo
 
kweli kabisa...yaani domo kuanzia leo mpaka kesho na keshokutwa hatakuwepo kwenye wapokea tuzo

Naona nyie ndio mnapanga nani apokee Tuzo na nani asipokee, nani awepo kwenye tuzo na nani asiwepo kwenye tuzo. Sisi ndio majaji tunamweka tunaemtaka sio kuangalia kura weita leta bia huku!!!
 
Back
Top Bottom