Ndio mimi, una la zaidi?
Mimi ndio nishamaliza hivyo.
Tabia.zako na wema ni sawa...ngoja nione reaction yako.first
+Yaani bora kama mmeamua kupiga kura kwa wanaija ili Diamond asishinde mngepiga kimya kimya kuliko kujitangaza hadi nyuzi mnaanzisha mnajiweka kwenye risk sana endapo akishinda sijui mtaweka wapi sura zenu!
Hii Thread inatufunua mioyo yetu wabongo tulivyo na miroho mbaya kwanzia ngazi ya familia mpka ngazi ya taifa. MUngu huko aliko anatushangaa.
Kwani akishinda nitakufa au? Kwendraaaa, unamtisha nani sasa?
Ashinde asishinde I don't care.
JF nitakuwepo kama kawa, sioni cha kunikosesha amani humu.
hhhhhhaaaaaaa uwiiiiii
safiii,, amempa kubwa.. Akirudi ana roho ngumu kweli.
Hivi hii post hapa chini aliipost nani vile
Soma ulichopost na unachokataa hukupost
We jiandae na matusi mkuu
Ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu nzuri
kweli kabisa...yaani domo kuanzia leo mpaka kesho na keshokutwa hatakuwepo kwenye wapokea tuzo
Tabia.zako na wema ni sawa...ngoja nione reaction yako.first
Mkuu huyo manzi ni kilaza balaa
Anagubu huyo
Tabia.zako na wema ni sawa...ngoja nione reaction yako.first