Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Kaogeeeee,, dont u feel ashamed..??

Hivi unajua huku hua nangia saa ngapi wewe kilaza? Halafu nikaoge wewe kama nani wa kuniambia hivyo?
Acha kujipendekeza wewe dume dada, kama nakuona vile unavyokata kiuno hapo nyuma ya keyboard huku kidole kiko juu....
Hahahahaaa.
 
Mda mwingine ukikaa na kufikiri unaweza jutia kwa nini umezaliwa katika nchi ambayo imejaa ujinga sana.
Afu mnalalamika maisha magumu wakati mnashinda mitandaoni kueneza ujingaujinga...
Duuuuh!!!
 
Hivi lukelo sakafu yuko wapi? Angekuwepo leo jukwaa lingechafuka.
Simpatii picha akiingia humu!

Heheh huu uzi ni shigidaaa aiseee!

1. Best Male - Wizkid
2. Best collabo - Davido (The sound)
3. Best Live - Mr. Flavour
4. Best Song - Wizkid (show you the money)
5. Best female - Vanessa Mdee
6. Best group - Sauti soul

Stole this from somewhere. Napita tyuuu!
 
Last edited by a moderator:

Team makombo , team wagumba. Ukichanganya vyote hvyo ni stress mpaka kufa.

Di anasubiri itwa BABA SHORTLY...
WATAJIFIA
 
Kuoga kipaji muulize kwanza huyo uliyekaa nae pembeni au yule uliyemwacha kijijini je kaoga? Hamuoni aibu midume mizima mnamchangia mtoto wa kike. Au wenzetu mmeshakuwa MA CAITLYN JENNER

Hahahahaaa, hivi bado hujajua hao ni watu wa aina gani? VIDOLE JUU KAZINI.
Bahati nzuri au mbaya wameboogie, hapa nitawachezesha kigodoro hadi wakimbie wenyewe, si wametaka wenyewe?
Acha tuvae vibwebwe sasa maana wanaume ndio wanaisha hivyo.
 
Hivi unajua huku hua nangia saa ngapi wewe kilaza? Halafu nikaoge wewe kama nani wa kuniambia hivyo?
Acha kujipendekeza wewe dume dada, kama nakuona vile unavyokata kiuno hapo nyuma ya keyboard huku kidole kiko juu....
Hahahahaaa.

kaoge, u stink!
 
Team makombo , team wagumba. Ukichanganya vyote hvyo ni stress mpaka kufa.

Di anasubiri itwa BABA SHORTLY...
WATAJIFIA

HAhahahaa wapi Team katunziiiiiiiiiiiiiiiiiii. Kudadadeki kuzaa kipaji dume zima linafutahia kulea mtoto wa mwanaume mwenzie
 
Ahsante Erick Omondi kwa maneno manzuri, ila tatizo watanzania hatuthamini kilicho chetu.

 

Attachments

  • erick-omondi-diamond.jpg
    75.1 KB · Views: 203
kaoge, u stink!

Hahahahaaa, huna jipya? Maana umekomalia hilohilo.
Sijui vita hua mnazitaka za nini huku mnajua fika kuwa hamjiwezi.
Eeish, nilidhani kuna ligi ya maana hapa kumbe ni ujinga ujinga tu kama mtoto wa primary bwana!
Dume zima linakata kiuno nyuma ya keyboard na neno moja tu, kaoge...kaoge!
 
Team makombo , team wagumba. Ukichanganya vyote hvyo ni stress mpaka kufa.

Di anasubiri itwa BABA SHORTLY...
WATAJIFIA

Yani hivi vidada ata havijichi kuwa ni muonekano mbovu alafu maisha magumu ndio maana wanashindwa ata kuwa na watu wa kuwa keep busy, ndio maana wana hasira hao Diamond ndio sehemu ya kumalizia machungu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…