Kuhusu kujitangaza tuna vivutio vingi vya kujitangaza kuna mlima mrefu kuliko yote afrika kuna ngorongoro kuna mbuga nyingi za wanyama na pia ni ya pili duniani Kwa vivutio vya utalii ambovyo vitakuwa vinatutangaza milele sio MTU mmojakwanini iwe kwake tu...kijana wetu daimond anakosa gani kwa baadhi ya WaTz
kwa mziki wa ndan sawa lkn hata nje pia tunamtenga?.....noo hii ni nchi yetu na huyu ni kijana wetu , so ni vizuri tukazid kujitangaza kwa huyu na wengineo watakao au waliotoka nje!!
sisi tumeanza kitambo na tunazidisha kasi
na hata sisi tunahamasishana kupiga kura kwa davido hata mara mia
Sindoa apo yan Davido yule aliyetuambia (From 0 to 100 very quick) aliyesema (they cheat leo) ndo mnampigia debe apate kura duh"
Hawqjielewi wanaongozwa na chuki za kumkomoa chibu wala si kwamba wanampenda huyo davido
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=bringbackourboy]#bringbackourboy [/URL]
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=bringbackourboy]#bringbackourboy [/URL]
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=bringbackourboy]#bringbackourboy [/URL]
wacha wendelee kumpigia tuu manake next anakuja kuwatusi tena...
Mijitu ina roho mbaya ajabu,makosa ya wazazi wao na wao wenye yaliyowafanya kuwa masikini wanayahamishia kwa wengine.Yani yani ni ujinga mtupu.......kesho utasikia mbona viongozi wetu hawatibiwi nchini...mbona hawatumii kitu fulani cha nchini kwetuu....pumbavu kabisa mbona wewe huthamini cha kwenu?
Eti ooh Diamond ana dharau...alikudharau wapi?ushawahi kukutana na Diamond ana kwa ana akakudharau?mbona wewe ndiyo unaonekana mwenye dharau nyingi kuliko unayemsema!
Kijana wa watu anapambana kufanya yake na Mungu anambariki kwa juhudi zake...na Ataendelea kumbariki kwani anajituma.Hizo timu zenu za kishenzi za loosers ndiyo zinawatia ujinga,eti fulani mjinga mjinga ndiyo kawashikia akili watu wazima na akili zenu.Amkeni wabongo #FITINA , #CHUKI havileti maendeleo.
Penda nchi yako,penda vya nchini mwako.
ACHA FIKRA POTOFU
Hahahaha siku huyu kijana akisepa kwa sir God tutashuhudia wanafiki wengi sana kuanzia hao makamanda wao wema,jokate na huyo ceremonial king wao
Kuhusu kujitangaza tuna vivutio vingi vya kujitangaza kuna mlima mrefu kuliko yote afrika kuna ngorongoro kuna mbuga nyingi za wanyama na pia ni ya pili duniani Kwa vivutio vya utalii ambovyo vitakuwa vinatutangaza milele sio MTU mmoja
Asante team platnum.Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
Haaaaaaaaa,
ngoja nirudi kwenye jukwaa langu la waelewa.
Nimekuja kugundua hao #teamkiba ni wajane tupuuuu na wajinga wajinga flani bendera fuata upepo...
motherfireee ninyi
Umefail kila kitu unaonekana kupeperusha bendera ni kuitangaza nchi unayotokea
Michael jackson alikuwa anapiga mziki unaokubalika dunia nzima ni sawa na kiba au davido. Tofauti na huyo bosi wenu mziki alikuwa anapiga enzi zile za mbagala, nenda kamwambie, mawazo, number one original n.k tangu alipoanza ile remix ya number 1 nikahama kabisa na kuwa mshabiki wa kiba na davido coz flavour anazopiga hazinigusi wala hazinisisimui kama za zamani.kujitangaza Kijiografia Na Njia Nyingine hakufanani Na Kujitangaza Kimuziki
Leo Kuna Watu hawaitambui Marekani Bila Kumtaja Michael Jackson!
Tusizidi kuiharibu Tz Yetu Kuwa Si Sehemu Salama Kwa Vijana Wetu kutoka!!
yaani Tanzania itangazwe na mtu mmoja? vivutio tunavyo tangu uhuru..labda waje kucheki domokujitangaza Kijiografia Na Njia Nyingine hakufanani Na Kujitangaza Kimuziki
Leo Kuna Watu hawaitambui Marekani Bila Kumtaja Michael Jackson!
Tusizidi kuiharibu Tz Yetu Kuwa Si Sehemu Salama Kwa Vijana Wetu kutoka!!