Mijitu ina roho mbaya ajabu,makosa ya wazazi wao na wao wenye yaliyowafanya kuwa masikini wanayahamishia kwa wengine.Yani yani ni ujinga mtupu.......kesho utasikia mbona viongozi wetu hawatibiwi nchini...mbona hawatumii kitu fulani cha nchini kwetuu....pumbavu kabisa mbona wewe huthamini cha kwenu?
Eti ooh Diamond ana dharau...alikudharau wapi?ushawahi kukutana na Diamond ana kwa ana akakudharau?mbona wewe ndiyo unaonekana mwenye dharau nyingi kuliko unayemsema!
Kijana wa watu anapambana kufanya yake na Mungu anambariki kwa juhudi zake...na Ataendelea kumbariki kwani anajituma.Hizo timu zenu za kishenzi za loosers ndiyo zinawatia ujinga,eti fulani mjinga mjinga ndiyo kawashikia akili watu wazima na akili zenu.Amkeni wabongo
#FITINA ,
#CHUKI havileti maendeleo.
Penda nchi yako,penda vya nchini mwako.
ACHA FIKRA POTOFU