Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido


mwache v money ajipigie promo mwenyewe,mbona diamond na zari wake hawamjumlishi Vanessa ktk promo zao? hakuna huruma hapa
 
Kwendraaaa zako, ule uzi unadhani nimesahau eeh?

Hata hivyo kura yangu hana, hutaki unaacha tu maana hunipi bundle.

jamani naomba kuulizwa tunapigia nini. Mi nilidhani ni jinsi wimbo ulivyo mzuri. Sijui Chuki za Diamond ni zanini nadhani shida yake moja tu kwa mtanzania ni kufanikiwa baasi. Shame on you yaani mnapigia majimbo mabaya kwa sababu ya chuki. Na hawa waandaaji sijui kwa nini hawabuni mbinu ambayo ni fair! Aidha kama mnaona Diamond ana dharau hebu tafuteni mashindano yanayo husu suala la dharau. Kwa mfano muwashindanishe wana muziki kwa unyenyekevu! Basi ili Diaomond ashindwe kihakali, maana eti mnamuona si mnyenyekevu!! Lakini kwa mkali wa nyimbo kutumbuiza hata mtoto mdogo anaelewa!!!
 
Hayaa sie tupo na kina idris pia tunapiga Tu kura
 

Attachments

  • InstagramCapture_6af332b1-14a5-4153-a1e7-2435719101b5_jpg.jpg
    43.1 KB · Views: 170

Siyo wewe nifah ninaemfahamu lazima kuna kitu. Busara zote ulizonazo leo umekuwaje?? Tatizo la hii Nchi ni kuacha wajinga wajinga waendeshe mambo ya msingi. Wema ni nani katika tasnia ya music mpaka ajione yeye ndiye anaamua nani apate tuzo za KTMA??? Kuna tatizo somewhere ila haya mambo yana mwisho GOD will stand!
 
Last edited by a moderator:
tena uje nakumwagia maji ya Moto mamaeeeeee urudi kwa ngosha Wako umebabukaaa,hasa uje na nifah nae nitammwagia Moto kabisaaaa,,yaan mim nahama jf kabisaa hhhhaaaa

dadadeki tuone sasa nani zaidi?yani nakuja kukushushua huko huko staki mchezo mie..
maji ya moto shangaa ntakuja kukumwagia ww mwenyeji
 
dadadeki tuone sasa nani zaidi?yani nakuja kukushushua huko huko staki mchezo mie..

maji ya moto shangaa ntakuja kukumwagia ww mwenyeji


wewe jilete uoneeee sasaaaaaa nitakunyoa nywele na kichwaa
 
Uzalendo?
Koh koh koh!
AFRICA UNITE.
Vote for wizkidayo, sauti sol, flavour na vanessa mdee wifi yangu wa ukweeliii
Wanaoshangaa nadhani mmekosa vitu vya kushangaa.Jiulizeni kwanini sindano ndogo hushona makoti makubwa!

Kwani mamy nyerere si alisema waafrika wote ni ndugu? Tupendane na tushirikiane.?
Sisi kwani tunamakosa kuwapenda waafrika wenzetu?
 

Mkuu katika hili naomba unisamehe tu, sina jinsi kwakweli!
Huu ndio muda wangu wa kuumiza na wengine.Wiki iliyopita diamond alivyopata hizo nominations huko kwakweli nililiona jukwaa chungu kupita maelezo.
Matusi na mbwembwe zilikua nyingi sana, hata mimi nina moyo naumia pia.
Kwahili nimepoza machungu na mimi, kiroho safi.
 
Last edited by a moderator:

Haya.....nini wataka sasa?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…