Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
Inakuumaa???
Swali lako inaonyesha ni namna gani mwepesi kuwa na hasira. Basi mtoto mzuri...
Nimeshafanya yangu. Naruhusiwa kurudia rudia au moja tu inatosha.
Tusipojiinua Watz wenyewe nnanim atatuinua?
Tunapoongelea utanzania wetu bifu tunatupa kuleeee
Wema anampenda dai.
Na hawez fanya huo ujinga.
Tatzo lenu ni umbea umbea tu na mambo ya team zenu kwa watu wasowajua.
.
.
Weita mpe mtoa udhi kiroba cha buku nitamlipia
Hata mimi nashangaa, chukulia mfano sisi mashabiki wa Kiba tuliopo humu tumeshawishiwa na wema kumpigia kura Davido?
Tena mimi nataka Wizkid ashinde na sio huyo Davido wanayesema.
Hivi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa Wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na Diamond.
Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia Wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake Diamond.
Ila tu nisisitize; Jokate, Wema na Mange, nyie na washabiki wenu mpigien Davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie Diamond bila sababu. Sisi watanzania wengine tutampigia kura.
Na naona Vanesa nae ashaanza kuingia team Wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha Diamond, badilika dada.
Vote for Diamond ana Vanesa, MTV Awards.
Hahahahaaa, habari ndio hiyo.
Viroba vitawaua.
Ata uzalendo hamna.
...
....
.....
Weita waongeze na hawa viroba viwili viwili
futurestar unaniua mbavu yaan ukisema weita leta viroba yaan ,afadhal nimecheka lo
Vipi nikuagizie naww ??...
Eti mnasemaga tatizo nyota.
Apana sio nyota wala #.
Viroba ndio vinavyosumbua
vinawafaa hao ambao wanaacha kumpigia kura Daimond wanampigia davido
Habari ndio hiyo