Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

MAMA 2015


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************

Nimeshafanya yangu. Naruhusiwa kurudia rudia au moja tu inatosha.
Tusipojiinua Watz wenyewe nnanim atatuinua?

Tunapoongelea utanzania wetu bifu tunatupa kuleeee
 
Na siku ya uchaguzi mkuu muhamashishane kupiga kura kuliko kuanzisha team za kipuuzi zisizo na faida...
 
Nimeshafanya yangu. Naruhusiwa kurudia rudia au moja tu inatosha.
Tusipojiinua Watz wenyewe nnanim atatuinua?

Tunapoongelea utanzania wetu bifu tunatupa kuleeee



safi Sana KOKUTONA unaruhusiwaa kupiga kura mpaka ikuambie sorry umetosha mpaka kesho
 
Last edited by a moderator:
Wema anampenda dai.
Na hawez fanya huo ujinga.
Tatzo lenu ni umbea umbea tu na mambo ya team zenu kwa watu wasowajua.
.

.
Weita mpe mtoa udhi kiroba cha buku nitamlipia
 
Wema anampenda dai.
Na hawez fanya huo ujinga.
Tatzo lenu ni umbea umbea tu na mambo ya team zenu kwa watu wasowajua.
.

.
Weita mpe mtoa udhi kiroba cha buku nitamlipia


eti kiroba cha buku hhhhaaa
 
Hata mimi nashangaa, chukulia mfano sisi mashabiki wa Kiba tuliopo humu tumeshawishiwa na wema kumpigia kura Davido?
Tena mimi nataka Wizkid ashinde na sio huyo Davido wanayesema.

Viroba vitawaua.
Ata uzalendo hamna.
...
....
.....
Weita waongeze na hawa viroba viwili viwili
 
Hivi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa Wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na Diamond.

Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia Wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake Diamond.

Ila tu nisisitize; Jokate, Wema na Mange, nyie na washabiki wenu mpigien Davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie Diamond bila sababu. Sisi watanzania wengine tutampigia kura.

Na naona Vanesa nae ashaanza kuingia team Wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha Diamond, badilika dada.

Vote for Diamond ana Vanesa, MTV Awards.

Hahahahaaa, habari ndio hiyo.

Na hii ina Impact, is not a joke ndio watz tulivyo tunahusudu visivyo vyetu. Mf. Halisi ni mpira umetushinda kwa sababu akili kama hizi ndio zinaoongoza taifa. FIKIRA FINYU.
 
Kama hivi...ama nini jamani? Hapa kazi tu...
Hahahahaaa
 

Attachments

  • 1434395934006.jpg
    1434395934006.jpg
    41.4 KB · Views: 93
Back
Top Bottom