Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Acha ujinga usifananishe tandale na kkoo kazikazi fiesta kama kawa tunapiga mtu chupa domo liongozeke
 
pwilo you will see it, tarehe 29 si mbali tuombe uhai na huu shabiki unaweza haribu image ya shughuli nzima ya Fiesta.
 
Ahahahahha nyie nyama mtajua mtanzania ni nani,[HASHTAG]#Vote[/HASHTAG] for Davido Eeeeh??? Sasa mtaona huyo tembo wenu kama atapata kitu.HAKUNA UZALENDO HAPA.
 
yaani nimeutafuta uzi huu kwa shida sana kumbe upooooo, kweli jamii forum ni pahala pa namna yake.


em niambieni Kiba yupo na nani vile kwenye category yake.

Kwa sababu kiba yupo mshindani wake anaenda kupata kura yangu, si kwa sababu namchukia kwa ajili yenu wenye midomo sijui ni vidole vibaya... mnaandika.

Poleni
 
[emoji108] [emoji108] [emoji108] jiwe limefika sweet
 
Hapo ndio ujue diamond platnumz ana fan base kubwa, jah preyhah wa Zimbabwe amesema moja ya sababu iliyochangia yy kushinda tuzo ya MTV mwaka huu ni collabo aliyoifanya na diamond platnumz (aliandika ktk page yake insta) , ukija kwa akothee kushinda tuzo mbili AFRIMMA na AEA kumechangiwa kwa kiasi fulani na diamond platnumz, najua hamtakubali ila effects ya diamond platnumz ni kubwa sana, Pata picha mwaka jana yy alishinda tuzo MTV EMA AFRICA na WORLDWIDE pamoja na upinzani wa team wema, team joketi, team kiba na team UKAWA (sababu aliisapoti ccm) lkn akashinda. Huu upuuzi wenu mliouanzisha wa kumshusha diamond platnumz ili kumpandisha kiba leo ndio umewagharimu na utaendelea kuwagharim.
 
Ila kuna kaukweli apo
 
KIBA ADONDOKEA PUA JUU YA MWAMBA WIZKIDAYO, AJIDAI YEYE HAITAKI TUZO NI MKUBWA KULIKO TUZO
 
Yoooooh pamoja na women empowerment jamaa kaangukia pua ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…