Hapo ndio ujue diamond platnumz ana fan base kubwa, jah preyhah wa Zimbabwe amesema moja ya sababu iliyochangia yy kushinda tuzo ya MTV mwaka huu ni collabo aliyoifanya na diamond platnumz (aliandika ktk page yake insta) , ukija kwa akothee kushinda tuzo mbili AFRIMMA na AEA kumechangiwa kwa kiasi fulani na diamond platnumz, najua hamtakubali ila effects ya diamond platnumz ni kubwa sana, Pata picha mwaka jana yy alishinda tuzo MTV EMA AFRICA na WORLDWIDE pamoja na upinzani wa team wema, team joketi, team kiba na team UKAWA (sababu aliisapoti ccm) lkn akashinda. Huu upuuzi wenu mliouanzisha wa kumshusha diamond platnumz ili kumpandisha kiba leo ndio umewagharimu na utaendelea kuwagharim.