Wakati Diamond anachukua tuzo hizo mwaka ulipita, hakukuwa fitna na chuki kama zilizopo wakati huu. Haikuwa vita ya
kimuziki ya u-Diamond vs u-Kiba kama ilivyoshudiwa hapo jana.
Kwa kuweka rekodi sawa, mwaka jana wakati wa tuzo, Wema alikuwa mbeba tuzo 7 za Diamond na zilikwenda
kupumzishwa kwa Wema tuzo hizo kwa saa kama si siku kadhaa...
Hata mwaka huh kwa taarifa yako hakukua na fitina yoyote ila mana hata Belle 9 alikua mzuri na hakupata tuzo vile vile.
Hata mwaka uu kiba ka deserve vizuri tu kupata tuzo. Mnamponza huyo domo wenu kuwa anafanyiwa fitina kumbe sivyo. People voted so hard yeye alianza kuzibeza tuzo unategemea nini:what:
Eti kiba kuchukua tuzo kabezwa ningewaona wa maana ka domo hakushinda last year. Kubalini matokeo tu hzo sababu za fitina ni minor issue sana ya kujifariji. Endeleeni hvo na mtu wenu msishauri mtabaki kulia lia fitna sijui nini. Si mlisema nyie ni international recognised hamuhitaji tuzo za nyumbani. Kwanini sasa mnalalamika.
i would vote for dvdo wiz venessa na sio MOND kwa kuwa baada ya ushindi atarudi kutukana badala ya kushukuruWatanzania!! SMH!!! So you would rather vote for Davido just so to spite Diamond. Lol! You know what, I now see why Kenyans and other East Africans really look down on us. This level of thinking is an absolute disgrace. Davido and Wizkid will be carrying the Nigerian flag, meanwhile Diamond will be carrying ours. Do you really think when Davido and Wizkid had that beef, and for example one of them ended up being a nominee of MTV award, do you really think Nigerians would vote for a Ghanaian or Tanzanian just to spite their own?
No wonder we have lame politicians who are looting funds and an education system that is failing. Diamond's personal life is now somehow everyone's business. So when Diamond fails to win any award on MTV ndio it would make you feel better about yourselves? This team thing I thought it was just a local thing but people behaving as if Diamond killed someone. I like Kiba, I listen to his music but I also acknowledge that he needs to work harder to get to the top. If today Ali Kiba was among the nominees on MTV na akina Davido, I would definitely vote for Kiba as that vote would be for my country. People fail to realise that Diamond has put Tanzania on the map, and that this is a good thing for other Tanzanian artists coming up because other countries would be looking out for Tanzanian artists/music.
But hey, go vote for Davido and Wizkid, and see if Diamond will come to your house begging for food. You will not take away his talent, and neither by pulling him down will you make whoever you support make it big.
Kuchambana, siwezi.
Ninakomea hapa.
Hahaaaaa ukwaju na ndimu plasi limao vinakuhusu. Maumivu yakizidi muone daktari.
Daktari mimi mwenyewe. Sina haja yakwenda kumuona huyo unayenielekeza....
Itabidi umuone mana hali ni mbaya mnoooo. Teh teh πππ
Itabidi umuone mana hali ni mbaya mnoooo. Teh teh πππ
Huko kwa daktari wako siendi.
Ninahofia usalama wangu asijeakaniandikia kufanyiwa "operation" wakati tatizo langu nahitaji ndimu na malimao tu kama
ulivyo "prescribe" hata kabla sijakwenda kwa daktari...
Basi nakuandalia ndimu limao na ukwaju utumie kabla ya kumuona daktari.
vnessa ntampigia ila sio mond kwani kiasili spendi dharauKupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
i would vote for dvdo wiz venessa na sio MOND kwa kuwa baada ya ushindi atarudi kutukana badala ya kushukuru
staki umiza roho yangu nyie mpigieni mond ashinde kwa roho safi hata staumia ila sio mimi nimpigie ashinde aje kuntukana mara makombo, toa mimba, sjui mbeya hamna hotel ya kunilaza
kuna forum ya wakenya nao wameanzia ant-platinumuz
Watanzania!! SMH!!! So you would rather vote for Davido just so to spite Diamond. Lol! You know what, I now see why Kenyans and other East Africans really look down on us. This level of thinking is an absolute disgrace. Davido and Wizkid will be carrying the Nigerian flag, meanwhile Diamond will be carrying ours. Do you really think when Davido and Wizkid had that beef, and for example one of them ended up being a nominee of MTV award, do you really think Nigerians would vote for a Ghanaian or Tanzanian just to spite their own?
No wonder we have lame politicians who are looting funds and an education system that is failing. Diamond's personal life is now somehow everyone's business. So when Diamond fails to win any award on MTV ndio it would make you feel better about yourselves? This team thing I thought it was just a local thing but people behaving as if Diamond killed someone. I like Kiba, I listen to his music but I also acknowledge that he needs to work harder to get to the top. If today Ali Kiba was among the nominees on MTV na akina Davido, I would definitely vote for Kiba as that vote would be for my country. People fail to realise that Diamond has put Tanzania on the map, and that this is a good thing for other Tanzanian artists coming up because other countries would be looking out for Tanzanian artists/music.
But hey, go vote for Davido and Wizkid, and see if Diamond will come to your house begging for food. You will not take away his talent, and neither by pulling him down will you make whoever you support make it big.
Do u take JF SERIOUS... Huh!!
Maajabu.
tobaaa dictionary pleaseeee....!!!