Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Nimeamini sisi wabongo tuna wivu wa kijinga sana.....

mbona mwaka jana tulimpigia akashinda tuzo sana ktma na hakukuwa na maneno ila leo mwenzie kashinda mnaanzisha maneno
mbona hajashukuru hata kwa tuzo mbili za nyumbani ktma????hii si dharau
 
achana nao tutapiga sie Tu,usijichoshe kuandika
 
le mutuz kafuta ile post watu wamemchamba degree3 hujui fake account
 
na bado mwakani ataambulia kreti la kilimanjaro beer......hatapata hata tuzo moja..aendelee na biashara ya kutangaza mimba
 
Yeah, because he has to marry to please you. Let him live his life. What a stupid excuse.

jiunge kwenye kampeni na kuanzia kesho link inasambazwa katika kila social media ndani na nje ya nchi
 
na bado mwakani ataambulia kreti la kilimanjaro beer......hatapata hata tuzo moja..aendelee na biashara ya kutangaza mimba

Hahahahaaa uwiiii! Jamani leo ni balaa.
 
+aisee hii ni aibu sana kwa wabongo mbele ya mataifa mengine. Hata kama ni ugomvi baina ya mashabiki wa timu mbili haijafikia hatua hiyo hata hao wanaija wenyewe watatushangaa wakisikia hii.
 
Hivi lukelo sakafu yuko wapi? Angekuwepo leo jukwaa lingechafuka.
Simpatii picha akiingia humu!
 
Last edited by a moderator:
le mutuz kafuta ile post watu wamemchamba degree3 hujui fake account

Hahahahaaa, ngoja niende mkuu.
Huyu aliyeanzisha hii pia kungekua na option ya kufuta angeshaifutilia mbali!
 
Niunge na mimi mkereketwa bora nipigie kura jiwe kuliko domo
 
MTV Awards siyo KTMA! Ukipitia hzo comments directly hata kama siyo mtz unapata pcha watz ni watu wa namna ip! i appriciate evryone's feelings, you do what you feel at the right time, at the right place, with the right amount and in the right format!
 
+aisee hii ni aibu sana kwa wabongo mbele ya mataifa mengine. Hata kama ni ugomvi baina ya mashabiki wa timu mbili haijafikia hatua hiyo hata hao wanaija wenyewe watatushangaa wakisikia hii.
baada ya kuoa mganda kaita wanawake wa tz makombo, huu ni uzalendo sana na yafaa tumlipize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…