Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Hvi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, xaxa hyo dharau mnaiona mashabiki wa wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na diamond.

Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake diamond.

Ila tu nisisitize, jokate, wema, na mange, nyie na washabiki wenu mpigien davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie diamond bila sababu. Cc watanzania wengine tutampigia kura.

Na naona vanesa nae ashaanza kuingia team wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha diamond, badilika dada.

Vote for diamond ana Vanesa, MTv awards

Kaka hao watu wasikuumishe kichwa kwa sababu c watz pekee wanaopiga kura kuna kenya;ug,kongo,burundi na nyingine watampigia diamond na kwa africa diamond anajulikana sana kuliko kiba.
 
bnafs....ntampgia vee mapesa na davido..who is the hell is daimond?? na nyodo zake?? si aljfny kutulisha ndm??? ss kbao kmemgeukia..mm yan nyodo zake tuuuu ndo zmeniboa! vote foe vee money and davido.......
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

hapa vote for vee money.n davido onlyyy
 
Timu kiba jamani acheni ufisadi, kuweni wazalendo, msiwe kama kile chama chetu..
cc nifah .
 
Last edited by a moderator:
mnajipa presha za bure kwenye mtv mama awards kura zinachangia asilimia 30% then 70% zilizobaki zinatokana na academy ya majaji ilioteuliwa, mwaka jana maffiki zolo walipata kura chache lakini wakachukua tuzo ya kundi bora, wanajua kama nigeria ina wakazi zaidi ya milioni 150 wakiweka kura pekee ziamue basi wanigeria wangekuwa wanabeba tuzo zote

Asante kaka kwa kuonyesha wenzetu walivyo makini na mambo yao
 
husika na kichwa cha habari naombeni msaada ndugu zangu
 
Wema is sick, realy fkn sick., anamtukana kajala hadharani ,ktk media. Clouds tv, now ktk take one.

What a b***h..
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

Duh una msimamo
 
Hahahahaaa, hiki kichambo ni balaa aiseeee...

Hii timu ina double standard za kipuuzi mno. Chao wakishabikiacho ni Sawa kwa wengine nonsense. Hawaombi kupigiwa kura wao ni kukashifu na kukejeli wapiga kura.
Dharau za kijinga zime wa cost wengi kwa kujiona bora kumbe. Yani hawa mashabiki maandazi ndo wana mharibia zaidi diamond.
 
Ivi ni kweli Wema ana nguvu hizi za kuwaambia wa-Tz wasimpigie kura Diamond na kweli ikamfanya Diamond ashindwe nitakua mtu wa mwisho kuamini.
Mkuu umeongea pointi halafu ni nani anatuletea habari kuwa eti Wema anaweza kusababisha Wtz tusimpigie kura Diamond na pia kwanini mtu unatoka povu na mtu usiyemjua kama apige au asipige si ni hiari yake na DIAMOND akikosa hawezi kushuka kwa sababu eti kakosa TUZO si mara ya kwanza kupata na si mara ya kwanza kukosa,kwenye KTMA bado yeye ndo anashika rekodi ya kuzibeba nyingi 7 hii rekodi haijavunjwa na hizi za jana si kapata 2 si wapo ambao hawajapata au hawajawahi kupata toka waanze muziki mbona sio tatizo kwao na anazo TUZO AMBAZO BADO HAWAJAZIFIKIA WASANII WENGINE
 
Hii timu ina double standard za kipuuzi mno. Chao wakishabikiacho ni Sawa kwa wengine nonsense. Hawaombi kupigiwa kura wao ni kukashifu na kukejeli wapiga kura.
Dharau za kijinga zime wa cost wengi kwa kujiona bora kumbe. Yani hawa mashabiki maandazi ndo wana mharibia zaidi diamond.

Hakuna anaetaka kura zenu maboss wenu wameshatoa maelekezo mkampigie Davido, mbona mnajstukia tena.
 
Back
Top Bottom