Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Hahahahaaa, huna jipya? Maana umekomalia hilohilo.
Sijui vita hua mnazitaka za nini huku mnajua fika huwa hamjiwezi.
Eeish, nilidhani kuna ligi ya maana hapa kumbe ni ujinga ujinga tu kama mtoto wa primary bwana!
Dume zima linakata kiuno nyuma ya keyboard na neno moja tu, kaoge...kaoge!

nifah huyo blogger anataka kuogea madhiwa labda mwambie aje huku nimmwagie mi Azam milk
 
Last edited by a moderator:
nifah huyo blogger anataka kuogea madhiwa labda mwambie aje huku nimwagie mi Azam milk

Hahahahaaa, sielewi ujue? Wamebaki kujibizana wenyewe kwa wenyewe si wafunguke tu?
Mwenyewe umeshatoa offer kabisa...lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa, nachekaje sasa? Afadhali nimejua sasa sindano zetu zimegusa mifupa.
Wangekaa kimya tungejuwaje?

Ukisikia paaa ujue jiwe limempata sasa. Sàsa mtu anaongelea kuoga ili iweje.
Huo mda was kubishana wangepiga tu kura. Kwa kujiliza hawajambo.
 
+Kumbe jiwe nililorusha gizani limekupata wewe ha haa haaa pole!

Hahahahaaa, kwani unadhani mimi nakwepesha? Niongee kwa mafumbo ili iweje sasa? Nimekupa vyako tu usidhani kuna anayeogopa hapa.
Labda angekuwepo Kiba ndio ningekua na pressure kwelikweli, ila hao wengine wakafie mbali tu.
 
Yani hivi vidada ata havijichi kuwa ni muonekano mbovu alafu maisha magumu ndio maana wanashindwa ata kuwa na watu wa kuwa keep busy, ndio maana wana hasira hao Diamond ndio sehemu ya kumalizia machungu yao.

Hahaaaa vimekua vidada maybe ua sisters at home and not us. Kuishiwa hoja huko sasa kwa mtu anayejiita mwanaume anaye dinda loh.😱😱
We we ndo unamuona mbovu kuliko hata shetwaani vile we are beautiful hatuhitaji back up yoyote tunajiamini, kuliko wanaume suruali wanaolia nyuma ya keyboard eti wanaonewa. So shame shame shame.
Domo awe sehemu ya kumalizia uchungu kwa domo kubwa chapati hakunji 😀😀 sehemu ya uchungu iko moja to lab..... Mtajiju jiju sana eeeeeh acheni kujiliza Liza hovyoooooo.
 
Hahahahaaa, kwani unadhani mimi nakwepesha? Niongee kwa mafumbo ili iweje sasa? Nimekupa vyako tu usidhani kuna anayeogopa hapa.
Labda angekuwepo Kiba ndio ningekua na pressure kwelikweli, ila hao wengine wakafie mbali tu.

Kiba anafaid duh nami wacha nijite kiba pengne ntapata vitamu
 
Tel ur girl to go get bath. She hasnt lifted her asss outer that bed since y'day.

She definetely must be stinking nw. Mbona wenzake wanachomoka na kurudi.

Akafue na kyupi...

Koma wewe, leo nimeingia huku mchana saa saba kasoro, na nilitoka na kurudi mara kibao tu.
Hata hivyo wewe kama nani wa kunipangia cha kufanya? Hujisikii aibu kuingilia maisha ya mtu ambaye humjui?
Hata nikikesha na kuamkia huku wewe inakuuma nini? Hunijui lakini roho inavyokuuma hadi nashangaa.
Fanya yako, huna cha kusema kaa pembeni pimbi wewe.
 
Tel ur girl to go get bath. She hasnt lifted her asss outer that bed since y'day.

She definetely must be stinking nw. Mbona wenzake wanachomoka na kurudi.

Akafue na kyupi...

We we ni nani wa kumpangia mtu life style huku Jf what the hell do you think ua.
Go ureslf and wash ua a.s hole.
Maybe ua smelling urself that why u think even others are smelling.
Wenzake kina nani hoja mfu huyo ya Ku take shower njo kivingine. Misumari iliyo was choma kote kote imehawaribu uelewa. Mko so desperate eeeh kubalini matokeo allahhhh.
 
Much as I remember, you were one of the high profile advocates for " Bring Back Our Wema:BBO-Wema" campaign.

And, it happened as per your wishes. The after math, is hatred surmounting the Tanzanian music industry so far,

Diamond falling prey to a fueled hatred from fans of his estranged girlfriend, Wema.

That said, you are entitled to your opinion, though.

Man let me be....do u!!
 
Koma wewe, leo nimeingia huku mchana saa saba kasoro, na nilitoka na kurudi mara kibao tu.
Hata hivyo wewe kama nani wa kunipangia cha kufanya? Hujisikii aibu kuingilia maisha ya mtu ambaye humjui?
Hata nikikesha na kuamkia huku wewe inakuuma nini? Hunijui lakini roho inavyokuuma hadi nashangaa.
Fanya yako, huna cha kusema kaa pembeni pimbi wewe.

Hahahahahah Hahahahahah Hahahahahah yani toka saa sita hupo JF ata kuchukua break hakuna mmh inawezekana jamaa ana hoja sasa umeoga saa ngapi mtoto wa kike? Alafu kuna comments zako za asubuhi asubuhi kwa nini unadanganya
 
Hahahahahah yani nimecheka sana.

ha ha ha ha ha haaaaahahaa....,, mtu anakomaa na PLUTNUMZ kama analipwa.

Afu utakuta vina afya mbaaya, ka vinaugua kifaduro.

Zari yupo STATE HOUSE...CARRYING A BABY.. BAAANNGGGG!!!
 
Hahahahahah Hahahahahah Hahahahahah yani toka saa sita hupo JF ata kuchukua break hakuna mmh inawezekana jamaa ana hoja sasa umeoga saa ngapi mtoto wa kike? Alafu kuna comments zako za asubuhi asubuhi kwa nini unadanganya

heheheeeeeeee umekomalia Leo sikuweziii
 
ha ha ha ha ha haaaaahahaa....,, mtu anakomaa na PLUTNUMZ kama analipwa.

Afu utakuta vina afya mbaaya, ka vinaugua kifaduro.

Zari yupo STATE HOUSE...CARRYING A BABY.. BAAANNGGGG!!!

mi nishajua humu tunajibishana na kina wema na jokate,ndio maana chuki kibao aiseee
 
Imewachoma hyo...xienziii...

Team makombo, team wagumba..
 
Back
Top Bottom