Crazy GK baada ya kimya kirefu aonekana

Crazy GK baada ya kimya kirefu aonekana

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MWANAMUZIKI KING CRAZY GK JANA ALIONEKANA KWENYE HADHARA KATIKA TUZO ZA KILI.
CRAZY GK ANAKUMBUKWA SANA ALITAMBA NA KUNDI LAKE LA EAST COAST TEAM.

7.jpg
 
aliimba nyimbo gani?maana mimi ngwair kafa ndo nikamfahamu,huyu nae hata simfahamu,nitajieni nyimbo nikamcheki youtube

Utakuwa sio mpenzi wa music wa bongo flavor au umeanza kufatilia music siku za karibuni.
 
Wakati anahojiwa na akina Millard alisema East Coast ni chama kubwa kama CHADEMA sijui na yeye alishatangaza nia ya kujiunga rasmi kama Prof J? Hivi CDM mnampango wa kuanzisha MUSIC ACADEMY eenh? Maana wasanii wote naona wanajiunga huko kwa kasi.
 
gk aligoma kumlamba miguu ruge. akamua kukaa pembeni lakini maisha yanasonga vilevile. kumbuka gk na jidee ni damu damu. alikuja kubugi alipoimba wimbo wa piga manati. alikua anawajibu wanaume halisi ndege tunduni. so akawa amejiingiza kwenye bifu la wanaume pamoja na bongo records. mia
 
"Majibaba yenye uwezo wa kirap hata kifedha"

Jamaa alibamba enzi zake,sa hv anasema kuna nymbo kafanya na Ambwene Yesaya na Hamis Mwinyijuma hvo ataziachia.
 
Back
Top Bottom