ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Anamaana cdm imefulia kama ect hapa haeleweki na pia huyu anajikosha sababu mama yake ni mbunge viti maalum cdm akiwakilisha mkoa wa mbeya nasikia na yeye anandoto za kuwa diwan upanga
Kumbe ni hivyo? Mama yake anaitwa nani vilee?