ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Anamaana cdm imefulia kama ect hapa haeleweki na pia huyu anajikosha sababu mama yake ni mbunge viti maalum cdm akiwakilisha mkoa wa mbeya nasikia na yeye anandoto za kuwa diwan upanga
the guy is just not talented...
Wakati anahojiwa na akina Millard alisema East Coast ni chama kubwa kama CHADEMA sijui na yeye alishatangaza nia ya kujiunga rasmi kama Prof J? Hivi CDM mnampango wa kuanzisha MUSIC ACADEMY eenh? Maana wasanii wote naona wanajiunga huko kwa kasi.
"Majibaba yenye uwezo wa kirap hata kifedha"
Jamaa alibamba enzi zake,sa hv anasema kuna nymbo kafanya na Ambwene Yesaya na Hamis Mwinyijuma hvo ataziachia.
the guy is just not talented...
Tatizo alikuwa anam copy sana DMX.
nimeangalia hata mwisho sijafika,hauvutii,bora hata nyimbo za marehem Albert
jamani unanionea mimi mbona ferooz namfahamu,hata wimbo wa mikasi nilikuwa naufahamu,sema nimekuja kumfahamu muimbaji baada ya kuwa amekufa.mimi namfahamu Jembe kibanda na balile,hao kina manyerere si wa gazeti la jamhuri,na huyo ngurumo si wa Tanzania Daima,mimi kizazi cha Prof kapuya,alitufutia mtihani,ikabidi tufanye january 1999
Chadema ndiyo habari ya mjini, hutaki unaacha.Wakati anahojiwa na akina Millard alisema East Coast ni chama kubwa kama CHADEMA sijui na yeye alishatangaza nia ya kujiunga rasmi kama Prof J? Hivi CDM mnampango wa kuanzisha MUSIC ACADEMY eenh? Maana wasanii wote naona wanajiunga huko kwa kasi.
1. Sister sister
2. Itikadi zetu
3. Ama zangu ama zao
4. Tutakukumbuka daima milele
5. Simba wa africa
6.
Nitakufaje
7. Miiko 10 ya rap
yule jamaa anakigugumizi hafai ktk rap