Crazy GK baada ya kimya kirefu aonekana

Wakati anahojiwa na akina Millard alisema East Coast ni chama kubwa kama CHADEMA sijui na yeye alishatangaza nia ya kujiunga rasmi kama Prof J? Hivi CDM mnampango wa kuanzisha MUSIC ACADEMY eenh? Maana wasanii wote naona wanajiunga huko kwa kasi.

GK mama yake ni mbunge wa viti maalumu CDM.. Mama Naomi Kaihura... Mia
 

Nimekukubali kweli sio kizazi cha mulugo sorry lol
 
Wakati anahojiwa na akina Millard alisema East Coast ni chama kubwa kama CHADEMA sijui na yeye alishatangaza nia ya kujiunga rasmi kama Prof J? Hivi CDM mnampango wa kuanzisha MUSIC ACADEMY eenh? Maana wasanii wote naona wanajiunga huko kwa kasi.

Kwani Hujui kama mama yake mzazi Naomi Kaihula aliyekua lecture CBE, na mwalimu Tambaza ni mbuge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuipitia chama cha CHADEMA


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
aliimba nyimbo gani?maana mimi ngwair kafa ndo nikamfahamu,huyu nae hata simfahamu,nitajieni nyimbo nikamcheki youtube

acha kuongea utumbo na wewe bichwa kubwa ubongo wa mende kama ukumfahamu umeingieje huku.
 
Ruge mbaya sana kapoteza vipaji vingi sana kwa tamaa zake.

Na wewe kila kukicha ni kumlaumu tu Ruge,utafikiri yeye ndio Mungu wa wasanii?kwani bila Ruge wasanii hawaendelei?fikirieni nje ya uwigo wa Ruge na mjiamini sio kila mtu akijipotezea Ruge,utasikia huyo ni Ruge ,huo ni ufinyu wa mawazo fungukeni
 
Du hiyo picha mi nilifikiri Samora Machel alipokuwa kijana akiwahutubia wana Frelimo huko Ntwara somoo,bah
 
thread inahusu nn?gk?ruge?matatizo ya bongo fleva?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…