Crazy GK mbona kimya mzee wa show za mill 30 ???

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Uyu jamaa VP amekuwa kimya sana mbwembwe zake zimeishia wapi
 
ile interview yake niliiona .....huyu jamaa anastress za kupotea kimziki akawa anaforce kurudi..
na sisi washabiki hatuna habari nae sasa tunaye HAMORAPA-KIBOKO YA MABISHOO.
GK akafie mbele
 
Maisha yako kama mchezo wa kupokezana vijiti yeye vijana wenzie wamesha mpokea sasa inabidi aturie tu.
 
Zama zake jamaa alikuwa fiti mno....Kila zama na nabii wake.

Sister Sister kwangu unabaki kuwa wimbo bora zaidi kuhusu Ukimwi pembeni ya Fani Katika maisha na Alikufa kwa ngoma.
 
ile interview yake niliiona .....huyu jamaa anastress za kupotea kimziki akawa anaforce kurudi..
na sisi washabiki hatuna habari nae sasa tunaye HAMORAPA-KIBOKO YA MABISHOO.
GK akafie mbele
Kwa nyimbo ipi!!Ana heat kwa mitandao tu!Nyimbo yenyewe kawaida xna,huwez mfananixha na GK
 
Jembe LA enzi. " Naisikiaaa nikilala naisikia" Sauti ya Manka.
 
Kichwa cha habari kimenifanya nicheke sana. Eti Crazy JK! We jamaa unatafuta kesi sio bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…