magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Apr 3, 2017 #21 sichangii mpaka heading ibadilishwe. Mil 7 sina.
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,186 Apr 3, 2017 #22 usser said: Mkuu unaweza kunitupia hapa Hzo ngoma kama unazo Click to expand... Ninazo mkuu....Nitumie namba yako ya WhatsApp PM mkuu
usser said: Mkuu unaweza kunitupia hapa Hzo ngoma kama unazo Click to expand... Ninazo mkuu....Nitumie namba yako ya WhatsApp PM mkuu
LAMOLAMO JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 246 Reaction score 225 Apr 3, 2017 #23 Sauti ya manka....GK
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,284 Reaction score 38,364 Apr 3, 2017 #24 mzaramo said: Zama zake jamaa alikuwa fiti mno....Kila zama na nabii wake. Sister Sister kwangu unabaki kuwa wimbo bora zaidi kuhusu Ukimwi pembeni ya Fani Katika maisha na Alikufa kwa ngoma. Click to expand... Nitakufaje na tuko pamoja ndio nazielewa zaidi.!
mzaramo said: Zama zake jamaa alikuwa fiti mno....Kila zama na nabii wake. Sister Sister kwangu unabaki kuwa wimbo bora zaidi kuhusu Ukimwi pembeni ya Fani Katika maisha na Alikufa kwa ngoma. Click to expand... Nitakufaje na tuko pamoja ndio nazielewa zaidi.!
Swizzy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 773 Reaction score 514 Apr 3, 2017 #25 kaja na video kali lakini ngoma haijabamba...aendelee kusoma tu
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,279 Reaction score 2,921 Apr 4, 2017 #26 Kila zama na kitabu chake
Muokota Makopo Member Joined Jan 9, 2020 Posts 54 Reaction score 95 Jan 21, 2020 #27 pandagichiza said: crazy JK ndo msanii gani huyo Click to expand... Mtoto wa mwisho wa JK
kelvin complex JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 607 Reaction score 584 Jan 23, 2020 #28 My all times favorite MC Sent using Jamii Forums mobile app