Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninazo mkuu....Nitumie namba yako ya WhatsApp PM mkuuMkuu unaweza kunitupia hapa
Hzo ngoma kama unazo
Nitakufaje na tuko pamoja ndio nazielewa zaidi.!Zama zake jamaa alikuwa fiti mno....Kila zama na nabii wake.
Sister Sister kwangu unabaki kuwa wimbo bora zaidi kuhusu Ukimwi pembeni ya Fani Katika maisha na Alikufa kwa ngoma.
Mtoto wa mwisho wa JKcrazy JK ndo msanii gani huyo