Crazy! Hivi kuna nchi inaongozwa vizuri sasa hivi Dunia hii?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Naona kama kuna mtandao mkubwa Dunia nzima ambao umejipanga kuharibu na kubomoa mfumo wa Dunia kama tuujuavyo, Sasa hivi sidhani kama kuna nchi inaongozwa vizuri au ina Kiongozi yoyote wa maana anayejali haswa maslahi ya watu, Dunia nzima is f--ked up now, hakuna pa kukimbilia.
 
Mbona zipo nyingi tu?? huoni zimeruhusu kilimo cha Bangi miche 4 kwa kila familia??
 
Back
Top Bottom