Crazy things you did in secondary school

Hahah,..nakumbuka nlivokuwa form 4 tulirecord video ya documentary ya shule,,..yaan maisha ya shule,...kila mtu alikuw anafanya kituko chake, .hahah, yaani it was crazy and amazing
 



😃😃😃 we mdau nahisi tulisoma School Moja...
 

Hii kitu mm pia nlifanya chuo, tofauti mm nlimis test, kwa wale mliosoma dsm mnamkumbka dr Nyirabu wa PS deptment, chezea kumis test bila sababu za msingi
 
Hivi ulipo kuwa shule ya secondary ni tabia gani mbaya/nzuri ulizizifanya ukiwa shuleni.
 
Nilikuwa na tabia mbaya ya kuuliza maswali kama haya.

Nilipomaliza shule nikaacha hiyo tabia mbaya.

Na wewe ukimaliza shule utaacha pia.
 
Walimu wanafunzi waliopo vyuoni, mpaka sasa hawajaenda kufanya mazoezi ya ufundishaji kwa vitendo tatizo likiwa ni ukosefu wa pesa ya kijikimu wawapo katika vituo/shule za mazoezi. Kimsingi, wanapaswa kufanya mazoezi hayo kwa muda wa miezi 2 (siku 60) lakini mpaka hivi sasa wapo vyuoni bila kujua hatma yao.

Mazoezi haya ni muhimu sana ili kupata walimu bora waliofunzwa kwa vitendo. Najiuliza kitu nakosa majibu sahihi, kama zoezi hili ni la siku 60 lilipaswa lianze mwezi FEBRUARY, Je! Litafanikiwa kwa kiwango sahihi ikiwa mwezi wa tano walimu wanafunzi ngazi ya cheti na stashahada wataanza mitihani yao ya mwisho?

Elimu yetu imeingiliwa na siasa kwa kiwango kikubwa sana na kuinasua kazi bado tunayo. Hakika walimu hawa hawawezi kuwa bora ikiwa mafunzo yao ni ya dhahania tu bila vitendo. Ikumbukwe mwaka jana hawa hawa walimu wanafunzi wakiwa mwaka wa kwanza walifanya ufundishaji kwa vitendo kwa muda wa siku 21 tu badala ya miezi miwili. Elimu yetu tunaipeleka wapi?

HAKIKA HATUWEZI KUPATA WALIMU BORA KWA NJIA HII.
 
Kwa kweli cjui hii serikal inaiwaziaje sekta ya elimu! yani kila cku ni siasa tu na usanii uliokithiri! hv kwel bajeti haikupangwa au ni jambo gen kwamba kuna wanachuo watatakiwa kwnda B.T.P february kila mwaka!! kwa kwel nimechoka kabsa yani...
 
Hebu tulia uje na taarifa kamili inawezekana una pointi nzuri! Unazungumzia walimu wa ngazi ipi?
 
Eeeeh! huu mwaka ni shida tuuuuuuu kila kona mara katiba,mara daftari la kudumu la wapiga kura,mara sijui Escrow,yaani taabu,lkn pamoja na yote kwenye Elimu siyo kwa kucheza kabisa,fanyeni fujo zote lkn Elimu iacheni na ubora wake,serikali pelekeni hao walimu B.T.P.
 

walking arround school with mirror and some cosmetic
 
Wale waliosoma mlama sec nlikuaga na chali yangu mmoja kipindi tunasimuliana vibwenge tulikuaga na kopo letu la kukojolea....jamaa alikuaga mwoga akiamka lazima anistue so tunakojoa kweny kopo afu mkono tujamwaga nnje ya dirishaaa.....
Na kuna washikaji wangu walikuaga vikojozi balaa afu wakakaa kweny deka moja si ilikua balaa ....huyu jamaa akikojoa leo kesho wana swap aliyekojolewa anamkojolea tena ilikuaga ugomvi kila siku😁😁😁😁😁

Na kuna mshikaji wangu huyo nlikuaga nikiamka afu nikamuona yy najua uji napata sasa balaa niamke nisimkute najua uji ndo ushaisha ...sasa nikiamka nimkute bado hajaondoka so najiguarentee napata uji so na kweli naenda kunywa na napata kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…