Crazy things you did in secondary school

How comes alikua anaogopewa hivyo.?

Nakumbuka Tosamaganga
1. Tunaunga nyaya za umeme kwa kuzichubua maarufu kama illegal, unaunga nyaya then simu unatia mfuko wa koti unalining'iniza
2. Tulikuwa tunashuka ipamba kufuata manesi, wale wanyarukolo wa niangusage tulikuwa tunapiga nakumbuka jamaa aliwafakamia alafu alikuwa ana malaria mpk akazima tukamuokota porini
3. Iringa girls maarufu kama zouuu wakija disco ni full kuoga na kupulizia unyunyu.
4. Chua m1 alimwagiwa Chakula chini inabidi akae hapo hapo ale mpk akamaliza.

Olvl nilishuhudia wajaluo wanakunywa uji na ugali wa Jana.
Kiranja wa Chakula aliwHi kula akaharisha na kutapika punje za mchele mpk akalazwa muda mrefu.
Jamaa m1 muha,alikuwa hataki kuoga mpk tunamkata tunammwagia Maji, soksi alikuwa anafanya kukuna mguu unatoa magamba unabadili rangi kuwa kama kahawia basi ni soksi hiyo

#2 sijakuelewa hapo, please fafanua vizuri ...

Na huyo muha miguu inatoa magamba alikua anakaa na socks miguuni hazivui.??

Siku moja nlitoroka kwenda disco vumbi nabwenzangu wakati tunataka kuvuka kimto tukawaaha toch tuliona bonge la chatu linavuka hatukurudi tulisubiri likavuka alafu tukalala mbele!!

[quote uid=286056 name="Mussolin5" post=17052807]Ni wachache sana hupata bahati kama ya Gerald Ford.

Hapa kwetu Mwinyi nae alipata Urais bila kutegemea.

Alipewa Urais wa Zenji kisha baadae akapata Urais wa Bara na kuwaacha akina Cleopa Msuya, Rashid Kawawa na Ahmed Salim wakipigana vikumbo bila mafanikio ya Urais.[/QUOTE]
Jina lake na jina la mke wake ni majina ya bahati

tulikuwa tunalia magendo chooni....mnaagiza chips mnakaa chooni mnakula mana mkibambwa ni noma.......

Wakati wa uji vyombo vilikuwa SADOLIN, kuna jamaa namkumbuka na sadolin lake lililokuwa limeandikwa DON'T SPY ME. jamaa anajaza na kumaliza peke yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] this also happened iyunga technical

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…