Crazy things you did in secondary school

Crazy things you did in secondary school

c165b05b346467c67ac537a5ba59adea.jpg




Foleni ya msosi tosa boys ,bila kua mbabe lazima hii foleni ikuhusu ,mazingira mengine yalitulazimu tuwe wakorofi maana hakukua na namna
Acha tu ,nilikua napita njia ya juu sikosi sababu mara mgonjwa nikiona hawaelew naweka ubabe nakula
 
Kwenye suala la kula kila siku nlikuwa wa kwanza kwenye mstari
 
Mi nakumbuka one day nilikunja nguo zangu na kuziweka kwenye kitanda cha mshikaji aliykuwa na magodoro mawili ilkuwa jmosi jioni so nikapanga kuzichukua j3 asubuhi nilipofika zote zmkojolewa na jamaa afu sikuwa na zingine nikazivaa hvo hvoo assemble nzima nanuka mkojo afu nlivojikausha kama sio mimi...ticha akati anakaugua usafi akanisbtkia akanitoa mbele ikabdi nmchongee jamaa altaniwa adi akahma shule
 
Nilipokuwa kidato cha NNE, kila jmosi tulikuwa tunafanya mitihan kwa ajili ya kujiandaa na mtihan wa mwisho. Mwalimu wa kiswahili alisema atakayepata chini ya C fimbo za kutosha.

Mimi binafsi kiswahili nilikuwa nakionea sana. Mtihan uliponifikia nikausoma wote Mara 3. Nikaamua kupata C kwa kujaza sehemu ya Fasihi(vitabu) na Swali la historia ya Lugha. Maswali mengi sikufanya. Nilipomaliza nikakusanya nikasepa.

Siku tuliporudishiwa mitihan yetu, mwalimu akaniita wa kwanza. Akaniambia pita mbele simama pale. Akaendelea kugawa. Waliopata chini ya C walikuwa 10 class wakapigwa fimbo 3. Mimi nikawa nasubiri hatma yangu. Ticha akasema huyu nampiga fimbo 6, si kwa kufeli ila dharau, amepata 57 kwa kujibu maswali 3 tu yenye alama 60 mengine hakufanya.

Baada ya fimbo mwalimu akaondoka nami hadi ofcn. Nikamweleza kuwa nilifanya vile ili kujua kama nilikuwa vizuri ktk upande huo?
 
Kuweka vioo chini ya sketi za MABINTI.
Primary school
 
- kuiba chakula cha walimu canteen
- kutoka na mwalimu (outing) [emoji85][emoji85]
- kuachiwa duka la shule kuuza na kuishia kutoa huduma ya bure kwa classmates
- kutoroka usiku
- Nimesoma shule nikifekisha ugonjwa miaka yote... Sifanyi usafi wala sipewi adhabu! [emoji23][emoji23]

Na kadharika!!!
 
Back
Top Bottom