cai
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,351
- 1,330
We utakuwa umesoma st... international.......Sasa ndio wabebe ndoo ya chooni.?!
Duh.
MTU unaanika chupi ukizubaa huikuti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa umesoma st... international.......Sasa ndio wabebe ndoo ya chooni.?!
Duh.
Hahaaa![]()
Foleni ya msosi tosa boys ,bila kua mbabe lazima hii foleni ikuhusu ,mazingira mengine yalitulazimu tuwe wakorofi maana hakukua na namna
Mseminari weweKuiba kuku wa mapadri, na kwenda kuwakaanga porini, ndani ya pango
Enock gani mkuuUmenikumbusha siku tunachoma mahind ya HM usiku kweny shimo la taka, sasa kumbe tumekaa kwenye siafu, na wale walivyo na sifa mpka wakijaa vzr ndo wanaanza kung'ata, tukahamaki tunang'atwa ,tulitimua kufka dom kumbe master alijua mchezo alishafunga milango na kuzima taa, Jaman jaman tuling'atwa na siafu, ilibid Twende kweny mabwen ya wasichana kwa nnje kuna taa ili tujiokoe kujitoa siafu, Sasa wao wamezima taa ss tunajitia Hatuonekan, kumbe wanatuchora tuu tukiokoa mayai yetu, Mmoja wetu kushtukia dili ,wote wakaanza kucheka hapo wameona vya kutosha, Nakumbuka Jamaa wangu Enock alikua brazamen sana na wa kishua, alihama shule. sasa walinz walivyo na njaa nao walienda kula mahind yote, kesho yake n magunzi tuu Km karakana
Ulinenepajeeee[emoji23][emoji23]Na mie maharage nilikua nakula nikijisikia tu!!! Nilifoji magonjwa na ulcers ikiwemo [emoji23][emoji23][emoji23] tukawa tunapewa cabbage au spinach. Chai napewa ya maziwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Ulinenepajeeee[emoji23][emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kuiba kuku wa mapadri, na kwenda kuwakaanga porini, ndani ya pango
I never stop doing this.....dining
Eehh?We utakuwa umesoma st... international.......
MTU unaanika chupi ukizubaa huikuti
Nakumbuka nlikua nawapiga watu flash za kufa MTU.. .kuna lile bweni lilikua linaitwa mapulinduzi sijuiAcha tu ,nilikua napita njia ya juu sikosi sababu mara mgonjwa nikiona hawaelew naweka ubabe nakula
MlunzaHahaaa
Mjengoni kwa Malata