Crazy things you did in secondary school

😂😂😂😂😂Haki nataman ingekuwa mchana niachie cheko kubwa khaaa watu mna matukio
 
Yaani nyie watu,nimecheka kwa sauti kabisa! Eti mama nilikuua
 
I have always been full of mischief. By nature. Sijui hata nihadisie lipi because some things I did came naturally to me. 😁😁😁
 
Mkuu kumbe umepiga chata

"mastery for services"

IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL
 
Ah ah aha h nimecheka sana
 
Ah! Azaboy, ubabe ubabe nlikutana na konda mbavu nkaipandishia kibezi af na mwili mdogooo, konda akatupa ngumi nkakwepa nikazama mfukoni nkatoka na buk10 nkaichana chana, kuna mjeda pembeni kanidaka "unachana pesa?" Kantia bonge la kofi dah nlichoropoka mbioooooo dadadekiiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nakumbuka kipindi nipo form1 nilikuwa Mzee wa kudodge vipindi mda mwingine naenda kucheza kamali na washkaj. Basi kuna siku tulienda kudodge na washkaj tukasahau muda wa kurudi kuitika jina washkaj nlioongozana nao waislam mm na jamaaang m1 ndo wakrsto bac tukakubaliana twende msikitini kufika kule yule mkrsto mwenzang akaenda playstation me nkaingia msikitini washkaj wakanambia niwaige wanachofanya bac ikawa wakiinama nainama wakipiga magoti napiga wakiangalia pemben vyote nafanya. Tumerudi class madam akatuulizia tukasema tulikuwa masjid madam akanikomalia mm muongo me c mkrsto akanambia twende assemble nkakupe adhab daah nkasema assemble kudhalilishwa mwenyw uongo nkampanga madam tulikuwa wakrsto wawl yule jamaa alikuwa anaitwa said Lakin ni mkrsto alivyoulizwa we mkrsto alivyokuw muoga akakubal bac tukaenda assemble ila madam alitupigisha attiz attention bac akatusamee.

Ila Kamar tumecheza sana tena akiwepo ticha wa field tunacheza mpk class. Sometime madam wa field akiwa anafundisha tunampiga vitunda vya ubuyu kwenye makalio akigeuka tunamcheka apo ni ss tu watu wa backbenchers. Hyo yote form1
 
Form 2 kufika kamali na matukio mengin yakaendelea nakumbuka tulishawah kutembeza daftal la rambirambi kwa msiba usio wa kwl na watu wakatoa.

Kulikuwa na mwenzet alikuwa mwizi kinoma kuna day tukamuibia na yy cowbell yake alitangaza fom2a mpk f kuwa kaibiwa. Kuna siku tulikuwa tunamtania mshkaj m1 hv kama tunamkaba mm na uyo jamaa mwizi weee! Jamaa akamchomolea hela yake(elf5) kwl akakimbia nayo hakuja wiki nzima. Nachoshkru nilikuwa na akil kila mtihan ukija nmeperform vzr toka form1 mpk madam akawa ananifatilia ananipa sana wosia nitulie me wap.

Form2 kuna washkaj zng walienda kufanya ugomv shule nyngn walokamatwa wakataj majina fake m1 alikuja kujulikana akapewa SPA nkaenda kumpa pole mida ya saa 4 hyo baadae break kengele ya break imeish me nkabak nacheza kamar nakuja kushtuka saa6 naenda class nkakutana na madam NA ticha wakanipeleka staff wakanipiga wakanpa SPA na mm nkamfata mshkaj wangu tulopew wote SPA kwenye Kamar tukaenda Kwny harusi maeneo ya jiran na shule tukala mpunga then tukarud makwetu kutumikia matatzo yalotukuta

Ila nlifaul kwenda Advance mm tu wenzang wote walifel l.Advnc matukio yaliendelea mpk kuna day tulirudishwa home na difenda mkuu alituchoka

NB:JKT na Chuo nilitulia sana mpk Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…