Thomas segeja
Member
- Nov 10, 2015
- 72
- 92
🤣🤣Bishop Arusha....wacha kabisa kwenye mashndano ya kula mchizi wangu john alimmeza samaki mzima bila kumtafuna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Bishop Arusha....wacha kabisa kwenye mashndano ya kula mchizi wangu john alimmeza samaki mzima bila kumtafuna.
Ndabo tupige buku maji chuo alooo kuja kufika chuo na kwenye aiseee acha tu ils ndanda ilikus raha kiasi chajkeNdanda boys high school, weekend tulikua tunaenda masasi na washkaji zangu wawili tukiwa tumevaa suruali zetu nyekundu, mashati ya tomato na tai zetu . Tulisikia masasi girls wanatokaga pass jumamos wanaenda town halafu huwa wanawashobokea Ndanda boys kwaio sisi tulikua tunaulamba uniform then tunaenda kuzugazuga town. Kiukweli tulikua tunauza sana.
Aisee malezi ni tofauti sana kwenye kila familia. Mtu mwenye akili timamu aliyelelewa vyema hawezi fanya huo upuuzi wa kunya kunya hovyo kwa sifa.Hahahaha,umenikumbusha hata sisi kuna lijinga liliwahi kunya bafuni (bafu za kisasa hamna tundu)
Kuna kipindi hatukua na maji kuna mijitu ikawa inakula sana,afu inaenda kunya bila ku frush wala kujitawaza[emoji23]
Umesema kweli,ni swala la malezi hiliAisee malezi ni tofauti sana kwenye kila familia. Mtu mwenye akili timamu aliyelelewa vyema hawezi fanya huo upuuzi wa kunya kunya hovyo kwa sifa.
ha haa 😁😁😁😁😁~ Got chased by the headteacher and deputy head. A whole crowd of us in school uniform were in one area our school had forbidden to enter, otherwise could result in expulsion. Only 2 were caught; thank God I was not part of the two.
~ You used my camera to take photos of your sleeping friends, especially when they were drooling and posted it on the announcement boards.
~ Used to sneak out of school all the time as a day student and buy foodstuff that were all contraband.
~Would go to the dining hall before the lunch bell goes.
~ Used to write lyrics of the artists of your preference. (remember 2Pac, Bob Marley?)
~ Ulizoea kujiandikia barua ili uonekane wewe ni mpokeaji mzuri wa barua.
~ Ukitumiwa EMS au TMO basi wewe unaonekana baab kubwa!
~ Kuchomekea shati ilikuwa kero kwako, ulifanya hivyo wakati wa kukaguliwa Jumatatu baadaye 'unapiga chini'.
~ Kufua soksi ilikuwa kero sana kwako, ulikuwa unazivaa mara 5 kwa wiki kisha unazifua Jumamosi (ukiwa na pair moja).
Hizi ni baadhi, tena nyingi ni kwa upande wa wanaume. Ladies, tell us what you used to do (crazy ones pls).
Yaani nimecheka !!Tumesoma boarding Boys tupu,nimeingia form 1 shule na suruali tatu na mashati yangu ya tomato matatu yanawaka hatari.
watu walikua wezi ile shule ukianika shati ukigeuka hv kwenda kuchota maji ukirudi kama sio umebadilishiwa shati umewekewa lililo gina basi wameli iba lako kabisa.
nilijitahid kulinda nguo zangu ila wapi ziliibwa moja moja hadi nikabaki na 1 pair yani shati 1 suruali 1, tranka langu nalo wakapita nalo nikabaki mimi na madaftari yangu maana madaftari huwa siweki kwenye tranka
kitandani kwangu ndio library,tranka lilivyoibwa na nguo nlonayo ni 1 pair,nilikua SIjali wala sina habari na mtu nilikua nikitoka darasani nafua nguo zangu naanika nabaki UCHI yani plain natembea hivyo hivyo kila mahali.
waliniita MSANDAWEEEE (bushman) sikua nikivaa nguo kila ninapoenda naenda bila nguo siajli mtu.
Shati langu lililobaki nililikata kuanzia tumboni kuja chini nililikata lote siku za darasani navaa sweta ticha hajui shati langu lipo nusu.
Suruali yangu nikaitoboa matakoni kisha nikashonea kiraka makusudi kama Alama,nguo zangu zilibaki salama salmini na ndio ukawa mtindo wangu hadi sakata langu la kuibiwa nguo HEAD MASTER alipoingilia kati na kusema ole wa mtu aibe nguo zangu. Hapo ndio nikaanza kuwa smart.
ila form 2 na 3 yote nilikua naishi kama msandaweee,u smart nimeuanza form 4 baada ya jina kuwa kubwa shule nzima hamna asiemjua msandaweee hamna asiejua shati la msandawee likoje na suruali zake ule STAR ndio ulipelekea headmaster kunijua na kuniita ofisini kuniuliza KULIKONI.
Duh umenikumbusha mbali sana . Nilikuwa mtaalaam wa kufuta mihuri juu ya hizo stempu.I see tulofanya hivi tupo wengi sana. Nilikuwa nikipata barua basi najua 'deal' hilo. Stamp itatumika kwenda kwingine... Ufisadi ulianzia huku 🙂
We upo fkd up mkuuTumesoma boarding Boys tupu,nimeingia form 1 shule na suruali tatu na mashati yangu ya tomato matatu yanawaka hatari.
watu walikua wezi ile shule ukianika shati ukigeuka hv kwenda kuchota maji ukirudi kama sio umebadilishiwa shati umewekewa lililo gina basi wameli iba lako kabisa.
nilijitahid kulinda nguo zangu ila wapi ziliibwa moja moja hadi nikabaki na 1 pair yani shati 1 suruali 1, tranka langu nalo wakapita nalo nikabaki mimi na madaftari yangu maana madaftari huwa siweki kwenye tranka
kitandani kwangu ndio library,tranka lilivyoibwa na nguo nlonayo ni 1 pair,nilikua SIjali wala sina habari na mtu nilikua nikitoka darasani nafua nguo zangu naanika nabaki UCHI yani plain natembea hivyo hivyo kila mahali.
waliniita MSANDAWEEEE (bushman) sikua nikivaa nguo kila ninapoenda naenda bila nguo siajli mtu.
Shati langu lililobaki nililikata kuanzia tumboni kuja chini nililikata lote siku za darasani navaa sweta ticha hajui shati langu lipo nusu.
Suruali yangu nikaitoboa matakoni kisha nikashonea kiraka makusudi kama Alama,nguo zangu zilibaki salama salmini na ndio ukawa mtindo wangu hadi sakata langu la kuibiwa nguo HEAD MASTER alipoingilia kati na kusema ole wa mtu aibe nguo zangu. Hapo ndio nikaanza kuwa smart.
ila form 2 na 3 yote nilikua naishi kama msandaweee,u smart nimeuanza form 4 baada ya jina kuwa kubwa shule nzima hamna asiemjua msandaweee hamna asiejua shati la msandawee likoje na suruali zake ule STAR ndio ulipelekea headmaster kunijua na kuniita ofisini kuniuliza KULIKONI.
STFUI have always been full of mischief. By nature. Sijui hata nihadisie lipi because some things I did came naturally to me. [emoji16][emoji16][emoji16]
Upo nae sasa mkuu auNilikua kikojoz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh it has been about 7 years now since the last time I wet the bed, bac wana wakawa wananambia nkijikojolea tena wananisemelea kwa crush yang hapo form 1 zilfanyka jitihada izo mpk nkaacha ksa nicsemwe kwa mtoto mzr
Si tulikuwa tuna toka mpirani na jasho hivo hivo unaenda kugonga msosi then unaunga prep hivo hivo saa 4 kwenda kulala na jasho mwilini kesho ratiba inajirudia hapo unakuta kuoga kwa mwezi mara 5 au 6 [emoji23]daaaaah nkikumbuka uboizini tulivokua wachafu,ama hakika nikwa NEEMA YA MUNGU
Miaka ya shule inachekesha sana hahahahaTulitoroka Shule kwa kigezo cha kufata ada, Tukaishia kwenda playstation (PS) asubui saa 2 kipindi hicho magu ndo anaingia madarakani alikuwa hataki watu wakae vijiweni asubuhi, Bwana wee Tukadakwa na polisi tupo kibandani tunacheza games tulipigwa pingu kama majambazi kwenda kituoni sitasahau siku ile ila anyway tulikosa nguvu za kwenda darasani wiki nzima baada ya kuachiwa kutoka kituoni miguu ilikuwa inatetemeka [emoji23]