Crazy things you did in secondary school

Crazy things you did in secondary school

Kuna mwamba aliwahii kunichimba mkwara akanipa Mia mbili akaniambia kaniletee mihogo ya jero na chenchi buku ...huwezi kuamini...nikamletea na chenchi nikampatia 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tehe tehe Tehee! Mkuu, mbona umenikumbusha mbali!

~Kwa kuwa mgao wa nyama mezani hautoshi, na nyama zenyewe ni mara moja kwa wiki, basi kiranja wa Bwalo akigeuka tu pembeni, umekwapua nyama kwenye dishi la msosi na kutia nyama kadhaa kwenye mfuko wa suruali !!! Kwikwi kwi...!
Niliwahi Kufuliwa Sweta Na Mwalimu Wa Nidhamu Form 1....Daaah Hilo Tukoi N Jau Na Sitosahau Maisha Yangu Yote
 
Nilikuwa nikienda kupiga punyeto!najitayarisha kama naenda library na bweni lazima wajue!!!nabeba kikopo changu,sabuni na picha ya kunipa stimu demu kakaa kihasara ni ya porn! hiyo tulikuwa tunaazimana kwa kila mpiga nyeto!
Bila shaka utakuwa umeacha saivi,na kama hujaacha jitahidi uache ni dhambi hiyo
 
~ Got chased by the headteacher and deputy head. A whole crowd of us in school uniform were in one area our school had forbidden to enter, otherwise could result in expulsion. Only 2 were caught; thank God I was not part of the two.

~ You used my camera to take photos of your sleeping friends, especially when they were drooling and posted it on the announcement boards.

~ Used to sneak out of school all the time as a day student and buy foodstuff that were all contraband.

~Would go to the dining hall before the lunch bell goes.

~ Used to write lyrics of the artists of your preference. (remember 2Pac, Bob Marley?)

~ Ulizoea kujiandikia barua ili uonekane wewe ni mpokeaji mzuri wa barua.

~ Ukitumiwa EMS au TMO basi wewe unaonekana baab kubwa!

~ Kuchomekea shati ilikuwa kero kwako, ulifanya hivyo wakati wa kukaguliwa Jumatatu baadaye 'unapiga chini'.

~ Kufua soksi ilikuwa kero sana kwako, ulikuwa unazivaa mara 5 kwa wiki kisha unazifua Jumamosi (ukiwa na pair moja).

Hizi ni baadhi, tena nyingi ni kwa upande wa wanaume. Ladies, tell us what you used to do (crazy ones pls).
1999 pugu sec samahan kama wahusika wapo nikiwa mapinduzi bweni

Nimetokaa hme na pilau na kukuu nikaenda kusoma jamaa wakanioteee wakakomba vyote kumbuka sijala nangalia hotpot zote on 🔥 🔥

Aisee niliiumia nkashinda njaaaaaaaaa

Jmosi onayofwata nkajiongeza nkaenda home nkala nkashiba jpili narudiiii nkabeba chakulaaaa

Kabla nikala nkashibaa pyuuu kilichobakia nkasema hiki nawapiga tukiooo

Mpwaa hatareeè...nikaendaaaa pharmacy nikanhnunuaaa dulucolax za buk 3000 ponda nusu. Mwagia kwa chakulaaa changanyaaaaa sanaa

Nenda pondaa nusu za 1500 changanya na mbiogaaa ba vipande 3 vya kuku mama huwa alikuwa ananipa na etx za kula na wenzangu kwenye dabodeka

Kufikaaa nkafikaaaaa nkaachaa msosi nkaenda nje ya geti kuna mama alikuwa na kaduka kaka nkanywa sodaa kaa pale kama Lisa limojaaaaaaaa......

Narudiii bweni nakutaaa watu wamepanganaa choooooooon nkaonaa hapaaa wataniua nkaenda kusomaaa weee aanaekuja darasani analaani mpwaa unauaa watu hukooo wamekula msosi wakoooo balaaa wanaharishaa hatare umeweka nn nkawambia sijagawa chakula kwa mtu kawaulize waoo

Dulucolax
Ni dawa ya kuwafisha tumbooo ukila haidanganyi yaan unajiharishia kama mnasubiriana

Usifanye hivyo kama uko sec
 
~Hata hizo barua unazojiandikia mwenyewe, hununui stamp hata siku moja! Stamp inafutwa muhuri na kutumika mara kadhaa! I think Shirika la Posta na Simu (jina la enzi hizo) halikupata chochote kwa barua kutoka mashuleni!
HII tumeifanya sana enzi hizo SHYBUSH SEKONDARI. Sio stempu tu hata tiketi za mabasi, kipindi hicho tulikuwa tunarudishiwa nauri. Nauli 2000/= unaongeza sifuri Inakuwa 20,000/=.
 
kwa shule za bweni,madume watupu,siku ya disko ilikuwa ishu..matayarisho ni zaidi ya miezi miwili.....kuhusu viwalo ,kwenda library ilikuwa muhimu ie kuazima pafyumu na nguo...kachupa ka pafyumu huwa kanakuwa kamoja,mnapulizia kwa zamu...ukichelewa ukikuta imeisha, unavunja kale kamdomo ka chupa then unajaza maji ,unatikisa kidogo,nawe unapaka....ndo maana kuna kademu wakati wa bluzi kaliwahi kuniuliza mbona wote mnanukia harufu zinazofanana?

nikapata kigugumizi..nikabaki eeer ooh eerr...ndani ya disko ole wako usiopoe kademu hasa wakati wa bluzi...bwenini hautakaa...manake baada ya disko wenzio wataanza kuletewa barua zenye manukato ,wewe hola!!!

kuhusu stempu ...kulikuwa na kaujuzi ka kufuta ule muhuri nafikiri kwa kutumia sponji na sabubi flani....then una reuse......maisha yalikuwa raha sana jamani!!!
Halafu picha Ilikuwa jambo mkubwa sana. Disco likiisha kinachosubiriwa ni picha tulizopiga na mademu. Kipindi hicho picha kusafishwa mpaka mkanda ujae, hivyo mnaweza subiri mwezi mzima.
 
1999 pugu sec samahan kama wahusika wapo nikiwa mapinduzi bweni

Nimetokaa hme na pilau na kukuu nikaenda kusoma jamaa wakanioteee wakakomba vyote kumbuka sijala nangalia hotpot zote on 🔥 🔥

Aisee niliiumia nkashinda njaaaaaaaaa

Jmosi onayofwata nkajiongeza nkaenda home nkala nkashiba jpili narudiiii nkabeba chakulaaaa

Kabla nikala nkashibaa pyuuu kilichobakia nkasema hiki nawapiga tukiooo

Mpwaa hatareeè...nikaendaaaa pharmacy nikanhnunuaaa dulucolax za buk 3000 ponda nusu. Mwagia kwa chakulaaa changanyaaaaa sanaa

Nenda pondaa nusu za 1500 changanya na mbiogaaa ba vipande 3 vya kuku mama huwa alikuwa ananipa na etx za kula na wenzangu kwenye dabodeka

Kufikaaa nkafikaaaaa nkaachaa msosi nkaenda nje ya geti kuna mama alikuwa na kaduka kaka nkanywa sodaa kaa pale kama Lisa limojaaaaaaaa......

Narudiii bweni nakutaaa watu wamepanganaa choooooooon nkaonaa hapaaa wataniua nkaenda kusomaaa weee aanaekuja darasani analaani mpwaa unauaa watu hukooo wamekula msosi wakoooo balaaa wanaharishaa hatare umeweka nn nkawambia sijagawa chakula kwa mtu kawaulize waoo

Dulucolax
Ni dawa ya kuwafisha tumbooo ukila haidanganyi yaan unajiharishia kama mnasubiriana

Usifanye hivyo kama uko sec
Enzi za Pond kuoga kwa wiki ni mara moja. Vyoo lazima uvue shati ndio unaingia, na maji ya kunywa weekend u narudi na kidumu cha maji Lita 5
 
Back in the days tupo High School tulifanya kituko kimoja mpaka tukamsababishia kesi Headmaster.
Tulikwenda likizo bwana! Tukavuta mpaka February ile kurudi, tukaandikiwa barua na Second Master kuwa tuwafuate wazazi home, tulikuwa watu wanne tukajipanga usiku na tukaandika barua na kuchongesha mhuri wa headmaster pamoja na saini yake.

Aisee kwa mara ya kwanza niliona headmaster anatoa machozi kwa sababu alishindwa kuikana saini yake na mwandiko wake. Kesi ilizimwa kiaina tu maana yule mzee alipata presha, sisi wanne tulikula bakora na tukashikilia msimamo kuwa tulipewa ruhusa na mkuu wa shule, na barua ni hizo hapo. Tulikula ban ya maisha kuwa tusipewe tena ruhusa ya aina yoyote.

Yule mzee kwa sasa ni marehemu il tulimchezea akili vibaya sana.​
 
Hahaha
 
Mimi nimesoma shule ya kata, na nlikuwa natokea kijiji jirani, angalau km 5 mpaka shule ilipo,nlifofika form four 2019 tukaambiwa tuhamie kambi,mimi mbishi sikuhamia ck iliyokuwa imepangwa,nikawa natokea maskani,ck tatu za mwanzo nliwah vzr tu na kuhudhuria kpnd cha saa moja. Ck moja nikachelewa kuamka,chukulia unaamka saa moja asubh unategemea ufke saa ngap kwa usafr wa baskel km5? Nikajikakamua nikajiandaa nikaanza safari,maana ni kheri uhudhurie masomo kuliko kuacha kabisa,lakn nitafkaje shulen ilihali nimechelewa na wenzangu wamehesabu namba? Likawa ndo swali la msing asubh hiyo. Nlipokaribia shule nikapak baskel polini,kisha nikakaa njian na kujifanya naumwa,ili akipta mwanafunz nimwambie akawaambie walimu kuwa naumwa,kwel akapta,nikamwambia akaenda mbio kwa walimu,akaelezea hali aliyonikuta nayo,wakaagzwa wanafunza wakaja kunibeba kwa baskeli, nlipofka walimu wote wakahamaki, kwa haraka wakaamuru nipelekwe zahanati, kweli nikafkishwa zahanati........ inaendelea ktk komenti inayofuata.
 
Matibabu au vipimo wakati huo ilikuwa bure daktari akanipima, majibu hakuona chochote,ila akanipa dose ya mseto nikapga vitatu, nikarudi skuli,mwalimu aliyekuwa mkali kwa viboko,akaniita,akaninunulia andazi na chai, kufikia sa5 nikawa niko sawa,sawasawa kabisa, kiukweli niliokoa mwili wangu kutoka katika kisago cha uchelewaji,kutofanya assignment darasani. Cha ajabu ndugu zangu licha ya kufanya vyote hvyo ili tu nisiwe mtoro skuli, kwa sasa niko mtaani licha ya kufauli mtihani wa mwisho CSEE 2019 KITUO NO. 3003 Number yangu 0014 kutokana na umasikini mkubwa ktk family yetu.
 
Kumbe una A ya history
Screenshot_20241214-160628.png
 
Back
Top Bottom