CRB- Usajili wa kampuni

CRB- Usajili wa kampuni

Habari Kiongozi,
swali lako linatafsiri 2
1. Kusajili kampuni - kwa maana isajiliwe Brela kwanza
2. Kampuni imeshasajiliwa na sasa unahitaji CRB ya grade 6
kwa msaada zaidi weka bayana nini unahitaji hasa, na kwa maelekezo ya kina siyo mbaya ukitupigia. Tunatoa ushauri Bure.
ikiwa kwa aajii ya wadau wote JF, tembelea uzi wetu
 

Attachments

  • 20230206_054638_0000.png
    20230206_054638_0000.png
    35.1 KB · Views: 21
  • 20230206_060115_0001.png
    20230206_060115_0001.png
    29.4 KB · Views: 25
  • 20230206_060742_0000.png
    20230206_060742_0000.png
    27.7 KB · Views: 20
  • 20230206_061440_0000.png
    20230206_061440_0000.png
    17.1 KB · Views: 21
Back
Top Bottom