CRBD Simbamking acheni usumbufu huu

CRBD Simbamking acheni usumbufu huu

simbanking via tips unaweza tuma direct kwenda lipa namba, ila pia sio ya kuwaamini beba na cash
 
Ni vyema app ikawa hewani kwa ufanisi muda wote.
Kuna ile keto "App under maintenance" kila mara
 
kutumia simbanking ni hatariii
any way ngoja hackers waje
 
Sasa unaweza kupata MKOPO wa Mafuta wa TZS.19,500 kutoka CHOMOKA. Kupata Mkopo huu ukiwa kwenye kituo cha Mafuta Piga *150*00# > Chagua 5 > 4.CHOMOKA
 
Back
Top Bottom