Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Yaani aache U C.E.O wa bank ya pili kwa ukubwa nchini kisa Ubunge na Uwaziri??? Hata wakichanganya mishahara bado U. C.E.O unamlipa zaidi kuliko Ubunge na Uwaziri.1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB NI vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. Fuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu mfano Infrastructure bond, never miss events za kitaifa n.k
2. Mwenye uelewa wa Kisiasa anaweza kunusa yajayo pale Wizara ya Fedha [CV ya MN inambeba haswa - corporate exposure, Kada na mengineyo] Wabunge wa majimbo ya Kagera - Nkenge etc ni wakati wa kupisha kiti.
3. Singida All Stars/Esta express aka Dr first class wa Uchumi tafuta cha kufanya baada ya Oktoba 2025.
3. Kigumu Chama Makini Kigumu.
NB: Hakika Wizara ya Fedha inaenda kupata JEMBE.
Kama unahisi Dr. Kimei ameingia Bungeni kwa sababu ya pesa zaidi unajidanganya. Kimei ameingia kwenye Siasa baada ya kustaafu kwa sababu za ki umri. Ni kwamba Bungeni Kaenda kupumzika tu...