Tetesi: CRDB anzeni mchakato wa Boss mpya pia Dr Madelu jiandae kisaikolojia!

Yaani aache U C.E.O wa bank ya pili kwa ukubwa nchini kisa Ubunge na Uwaziri??? Hata wakichanganya mishahara bado U. C.E.O unamlipa zaidi kuliko Ubunge na Uwaziri.

Kama unahisi Dr. Kimei ameingia Bungeni kwa sababu ya pesa zaidi unajidanganya. Kimei ameingia kwenye Siasa baada ya kustaafu kwa sababu za ki umri. Ni kwamba Bungeni Kaenda kupumzika tu...
 
We jamaa kweli unaijua CRDB vizuri. Ila huyu CEO aneleta challenge sana kwa NMB na inapoelekea itakuja kuongoza kwa faida kuliko NMB
 
Kagera inaingiaje?
 
We ni mwehu esther bus hana uhusiano na mwigulu
 
Ukimlinganisha huyu na Kimei ,Kimei was a head of time Guru kabisa ,huyu ni wa kawaida sana ,kama Kimei alikosa wizara huyu ni nani ?labda waangalie uchawa sio weredi kwenye secta ya kifedha
Udhaifu wa Kimei si mtu mahiri ktk uongeaji au uwasilishaji wa hoja/mada, anababaika sana ktk uongeaji wake hata akiwa bungeni

Pamoja na sifa zingne lakn waziri lazima awe ni best presentor, uwezo mzuri wa kuelezea na kufafanua será za wizara yake na Serikali kwa ujumla mahali popote anapoongea

Kimei sifa hii hana
 
kwa hiyo waziri anachaguliwa kwa kuongea (presenter)?
 
Naona wote wapiga ramli tu, hakuna mwenye uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…