CRDB Bank badilikeni

CRDB Bank badilikeni

Niende moja kwa moja kwenye mada utaratibu mpya mliouleta kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma unakera kumbukeni mtu anakuja kukopa kwa sababu mbalimbali ikiwemo na maradhi mfamo leo hii miye mtu ana mgonjwa inaitajika pesa anaona ngoja nikakope CRDB niweze msaidia mgonjwa wangu anakuja kwenu mnaanza kahamishe mshahara upitie bank yetu hii ni kero kama makato yenu si mnatapa msirazimishe mteja au mmeanza kuwa kiburi kisa riba yenu ni 13%

Haya mshahara mteja anahamisha mnasema hamuwezi kuweka pesa mpaka muone mshahara unaingia kupitia bank yenu yani mteja akae siku therathini anasubulia mkopo hii ni kero ina maana hata hiyo pesa akiipaata haina maana tena vigezo vingine ni kero kero ondoeni huu ni ushauri tu.
Si waombe ushauri kwa kimei
 
Hawa crdb wiki 4 sasa nawaangalia tu mkopo wangu hawatak kunipa tulia mashetan yangu yajae na nilivyo na hasira za simba plus mzungu
 
Nashangaa mnamuita Rais Mama .
Kile mama hiki huyu sio mama yenu huyu ni rais wa tanzania.
Anawatoto wanaomwita mama napia watoto wanaomwita bibi .

Komeni mama , mama hakuna mama mjini
 
Back
Top Bottom