CRDB BANK customer care jirekebisheni

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Hivi sisi watanzania lini tutajifunza ku value thamani ya mteja ? Hasa hizi bank hawa waajiriwa hua wanajisahau na kufikiri hizo pesa na kila kitu ni vya kwao na kua na nyodo,CRDB unaripoti tatizo mara ya kwanza wanakwambia tunalifanyia kazi , mara ya pili wanakwambia subiri tuangalie halafu unawasikia kwenye simu wanaulizana hivi ile issue ya jana uliipeleka ? Then wanakujibu samahani naomba tulifikishe sehem husika utajulishwa....hapo sishapita 24 hrs tangu ulipoti tatizo lako na ni bank very sensitive place na ni hela yangu.....naanza ku prove kua wafanyakazi wengi wameingia kwa rushwa ya ngono na ya aina nyingine wangekua wameingia kihalali wangethamini kazi yao na wangefanya kazi kwa uadilifu mkubwa.JIREKEBISHENI
 
Kweli tubalike hasa kwa hizi Bank kongwe kwani hata NMB wanatabia hiyo hasa pale watu wanapopanga mstari kwa ajili ya kuweka pesa utakuta watu wengi ila Bank Teller 2 then utakuta huyo mmoja anaondoka anaweka TEMPORALY CLOSED, Watu wanasubilishwa zaidi ya masaa matatu hawajali na viongozi wao wapo,Tena hili linatokea sana pale NMB BANK HOUSE ambako ndio kituvo vip huko pembezoni kwenye BRANCHES.Jirekebisheni bwana ndio maana mnashindwa kufungua matawi kenya kwa sababu ya POOR CUSTOMER CARE, kwa hiyo mnatuonea wabongo tu.Ila kumbukeni kua kila Falme zinawakati wake.Mfano EMPIRE KINGDOM ipo wapi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…