mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Hivi sisi watanzania lini tutajifunza ku value thamani ya mteja ? Hasa hizi bank hawa waajiriwa hua wanajisahau na kufikiri hizo pesa na kila kitu ni vya kwao na kua na nyodo,CRDB unaripoti tatizo mara ya kwanza wanakwambia tunalifanyia kazi , mara ya pili wanakwambia subiri tuangalie halafu unawasikia kwenye simu wanaulizana hivi ile issue ya jana uliipeleka ? Then wanakujibu samahani naomba tulifikishe sehem husika utajulishwa....hapo sishapita 24 hrs tangu ulipoti tatizo lako na ni bank very sensitive place na ni hela yangu.....naanza ku prove kua wafanyakazi wengi wameingia kwa rushwa ya ngono na ya aina nyingine wangekua wameingia kihalali wangethamini kazi yao na wangefanya kazi kwa uadilifu mkubwa.JIREKEBISHENI