Muwege mnaandika kwa kiswahili na sie akina mama lishe tupate concept
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Niliishia darasa la tatu mkuu!!!Bado karne hii unalalamikia Kiingereza?
Ulienda shule,ukasoma masomo yote kwa Kiingereza mpaka ukaota mvi,halafu leo unalalamikia jamii kwa kutumia Kiingereza
Unalalamika kwa uzembe wako wewe binafsi wa kutokujua Kiingereza kwa jamii?
Hivi magazeti ya Kiingereza unasomaje wewe?CNN,etc unasikilizaje wewe?
Jamii ikusaidie nini kwa uzembe wako mwenyewe?
Wewe hupendi Kiingereza kutokana na uzembe wako,hapo hapo unataka watoto wako wajue Kiingereza cha hali ya juu..
Such a problem!
Ulivyoandika utadhani labda unanijua sana!!! Kwa taarifa yako sikubahatika kusoma!!!Bado karne hii unalalamikia Kiingereza?
Ulienda shule,ukasoma masomo yote kwa Kiingereza mpaka ukaota mvi,halafu leo unalalamikia jamii kwa kutumia Kiingereza
Unalalamika kwa uzembe wako wewe binafsi wa kutokujua Kiingereza kwa jamii?
Hivi magazeti ya Kiingereza unasomaje wewe?CNN,etc unasikilizaje wewe?
Jamii ikusaidie nini kwa uzembe wako mwenyewe?
Wewe hupendi Kiingereza kutokana na uzembe wako,hapo hapo unataka watoto wako wajue Kiingereza cha hali ya juu..
Such a problem!
Wakikujibu naomba unitagCRDB BANK PLC - The Bank that Listens!!!
Sikilizeni kilio chetu wateja wenu
Niliishia darasa la tatu mkuu!!!
Kwahiyo hata umaskini ni wakujitakia!?Bado karne hii unalalamikia Kiingereza?
Ulienda shule,ukasoma masomo yote kwa Kiingereza mpaka ukaota mvi,halafu leo unalalamikia jamii kwa kutumia Kiingereza
Unalalamika kwa uzembe wako wewe binafsi wa kutokujua Kiingereza kwa jamii?
Hivi magazeti ya Kiingereza unasomaje wewe?CNN,etc unasikilizaje wewe?
Jamii ikusaidie nini kwa uzembe wako mwenyewe?
Wewe hupendi Kiingereza kutokana na uzembe wako,hapo hapo unataka watoto wako wajue Kiingereza cha hali ya juu..
Such a problem!
Ulivyoandika utadhani labda unanijua sana!!! Kwa taarifa yako sikubahatika kusoma!!!
wanaamini nyie msiojua kuongea kibeberu hela yenu haifiki laki huko bank.Muwege mnaandika kwa kiswahili na sie akina mama lishe tupate concept
😡😡😡😡😡😡😡😡😡
Kwahiyo hata umaskini ni wakujitakia!?
Sio kosa lake mkuu, wengi tumesoma kwa neema tu.Sasa hilo ni kosa lako mwenyewe!
Ni ajabu unapochukua kosa lako binafsi unataka jamii ikuonee huruma!
Ukiona Kiiengereza wewe jua hiyo post haikuhusu basi ili amani iwepo kwa wote wewe included!
Hoja yako ni dhaifu hujui kama watajiri wengi hawajasomaBado karne hii unalalamikia Kiingereza?
Ulienda shule,ukasoma masomo yote kwa Kiingereza mpaka ukaota mvi,halafu leo unalalamikia jamii kwa kutumia Kiingereza
Unalalamika kwa uzembe wako wewe binafsi wa kutokujua Kiingereza kwa jamii?
Hivi magazeti ya Kiingereza unasomaje wewe?CNN,etc unasikilizaje wewe?
Jamii ikusaidie nini kwa uzembe wako mwenyewe?
Wewe hupendi Kiingereza kutokana na uzembe wako,hapo hapo unataka watoto wako wajue Kiingereza cha hali ya juu..
Such a problem!
Hoja yako ni dhaifu hujui kama watajiri wengi hawajasoma