Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Sio kosa lake mkuu, wengi tumesoma kwa neema tu.
Tumshukuru Mungu kwa hilo.
Kusoma sio tena eti Mungu!
Tufikie kiwango kusoma ni lazima na haki ya msingi kwa kila raia!
Mtoto asieenda shule wazazi wake wafungwe!
Mtu mzima Asieenda chuoni achapwe na afungwe!
Ifikie kipindi kusoma iwe haki ya kila mtu kama ilivyo kula au kupumua!
Nchi itoe hii haki wasiachiwe wananchi maana hawajui lolote