CRDB Bank customers

CRDB Bank customers

Sio kosa lake mkuu, wengi tumesoma kwa neema tu.

Tumshukuru Mungu kwa hilo.

Kusoma sio tena eti Mungu!

Tufikie kiwango kusoma ni lazima na haki ya msingi kwa kila raia!

Mtoto asieenda shule wazazi wake wafungwe!

Mtu mzima Asieenda chuoni achapwe na afungwe!

Ifikie kipindi kusoma iwe haki ya kila mtu kama ilivyo kula au kupumua!

Nchi itoe hii haki wasiachiwe wananchi maana hawajui lolote
 
Kusoma sio tena eti Mungu!

Tufikie kiwango kusoma ni lazima na haki ya msingi kwa kila raia!

Mtoto asieenda shule wazazi wake wafungwe!

Mtu mzima Asieenda chuoni achapwe na afungwe!

Ifikie kipindi kusoma iwe haki ya kila mtu kama ilivyo kula au kupumua!

Nchi itoe hii haki wasiachiwe wananchi maana hawajui lolote

[emoji28][emoji28] mkuu mbona kama una matatizo yako huko unatafutia pa kutolea stress
 
Ume andika nn sa apa
Bado karne hii unalalamikia Kiingereza?

Ulienda shule,ukasoma masomo yote kwa Kiingereza mpaka ukaota mvi,halafu leo unalalamikia jamii kwa kutumia Kiingereza

Unalalamika kwa uzembe wako wewe binafsi wa kutokujua Kiingereza kwa jamii?

Hivi magazeti ya Kiingereza unasomaje wewe?CNN,etc unasikilizaje wewe?

Jamii ikusaidie nini kwa uzembe wako mwenyewe?

Wewe hupendi Kiingereza kutokana na uzembe wako,hapo hapo unataka watoto wako wajue Kiingereza cha hali ya juu..

Such a problem!
 
Ndugu watanzania ifike mahala tuamini sio kila anaejua kingereza ni msomi na ata hivyo wasomi walio wengi wanaajiliwa na wasio soma na katika matajiri wengi walio wengi sio wasomi na ukibaatika wewe kusoma aimaanishi wewe ndio mjuaji sana
Na huko mabenki wanao deposit pesa nyingi ni wale wenye maisha ya kati kwa wingi wao na hali zisizofanana
Tukipende kiswahili chetu na kukienzi mtoa post toa lugha rafiki amabayo aibagui na kila mmoja asome na kuelewa humu jf waliopost lugha iliyokuja na meli watu wengi awachangi either kwa kutokujua au kujua ila sio lugha shawishi kusoma ni hayo
 
Back
Top Bottom