Kazi ya kukopesha ni kazi ngumu na inahitaji umakini sana. Huwezi kumkopesha kila mtu mwenye shida. Kinachangaliwa kwenye kukopa ni uwezo wa mkopaji kurudisha. Wabongo ulikiwalegezea baada ya mwaka utakuwa umefunga benki hata kama ilikuwa kubwa kiasi gani. Tuseme kwa ujumla kinachofanya kukopa Tanzania kuwe kugumu ni uhakika wa wakopaji kurudisha walichokopa.CRDBni bank ya ovyo sana kwa wafanyabiashara wadogo na wakati. Mikopo yao kwa kiasi kikubwa inawalenga wafanyakazi hasa wa serikalinj na mashirika makubwa.
Japo mimi mwenyewe nahitaji iwe kwa haraka,lakini kwa tabia za Watanzania wote tena,umeongea kila kitu mkuu,umemaliza,hii tred iishie hapoKazi ya kukopesha ni kazi ngumu na inahitaji umakini sana. Huwezi kumkopesha kila mtu mwenye shida. Kinachangaliwa kwenye kukopa ni uwezo wa mkopaji kurudisha. Wabongo ulikiwalegezea baada ya mwaka utakuwa umefunga benki hata kama ilikuwa kubwa kiasi gani. Tuseme kwa ujumla kinachofanya kukopa Tanzania kuwe kugumu ni uhakika wa wakopaji kurudisha walichokopa.
Hili nalo ni tatizo.watu wanapenda kukopa.kwenye kulipa inakuwa ugomvi.Kazi ya kukopesha ni kazi ngumu na inahitaji umakini sana. Huwezi kumkopesha kila mtu mwenye shida. Kinachangaliwa kwenye kukopa ni uwezo wa mkopaji kurudisha. Wabongo ulikiwalegezea baada ya mwaka utakuwa umefunga benki hata kama ilikuwa kubwa kiasi gani. Tuseme kwa ujumla kinachofanya kukopa Tanzania kuwe kugumu ni uhakika wa wakopaji kurudisha walichokopa.
Hili nalo ni tatizo.watu wanapenda kukopa.kwenye kulipa inakuwa ugomvi.
Japo mimi mwenyewe nahitaji iwe kwa haraka,lakini kwa tabia za Watanzania wote tena,umeongea kila kitu mkuu,umemaliza,hii tred iishie hapo
Jamaa kala Ban?????Mwenzako kaandika thread akilalamikia makato, ishapigwa kufuli. Jamii forums thread kama hizi hawazitaki. Wanataka zile za kusingizia watu.
Jamaa kala Ban?????
Duuh wanaogopa kesi kama ile ya Kituo cha mafuta nini??Hawajampa ban. Wameficha thread.
Yaani ilivyo tu ndugu Watanzania wengi si walipaji wa madeni yawayo yoyote. Ndio maana vikundi vingi vya kukopeshana vinakufa. Ukitaka kujua watanzania 90% sio walipaji wazuri wa madeni,uwe na duka labda la vifaa vya magari hivi, hata yule usiemdhania kwamba anaweza akawa msumbufu atakusumbua mbayaa. Hata kama ana kazi au biashara nzuri tu inayomuingizia hela,lakini wakishakopa akimaliza ile shida yake siku hiyo hataki kabisa kulipa,mtakusukumana sana. Watanzania wengi akimaliza shida yake tu,kulipa anaona tabu kabisa. Na ukitaka kulijua zaidi fuatilia wale wanaokopesha mitaani kwa riba wale unapoenda kukopa aither uache gari au wanashika nyumba,viwanja n.k kulingana na thamani ya pesa unayokopa na inakuwa kwa makubariano ya muda fulani. Wakopaji wengi wanafirisiwa na wakopeshaji. Na sababu kubwa ya kufirisiwa ni ksbb moja Watanzania sio walipaj. Mbili ujanja janja mwingi. Tatu Watanzania wengi wanapoenda kukopa anakuwa hana udhoefu au adea nzuri au hajui kabisa kitu anachoenda kuzalishia hiyo hela anayoenda kukopa. Let say amesikia tu kilimo cha matikiti kwa mtu mmoja,amempa tu hesabu ya kwenye makaratasi kwamba yanalipa,kesho huyo mbio kwenda kukopa. Ndio maana bank unapoenda kukopa lazima wakufuatilie wajiridhishe je kweli unaweza kurejesha hiyo hela. Bank wenyewe huwa wanajisikia vibaya kufikia hatua ya kuuza zamana ya mteja mfano nyumba,ndio maana mpaka kufikia hatua ya kuuza nyumba yako lazima waende na wewe taratibu,wakiona unaendelea kulipa hata kwa kidogo kidogo tofauti na makubariano bado wanaendelea kukuvumilia. Mwisho nikuambie tu Watanzania asilimia kubwa sio walipajiSi sahihi. Haya yanasemwa siku zote kwamba watanzania hawapendi kulipa mkopo, lakini si kweli. Kuna mambo mengi yanatesa mkopaji kama riba kubwa, kutokupewa elimu wazi ya mkopo wanaochukua n.k. Wengi hugundua wamebeba mzigo wanapoanza kupeleka marejesho.
Boss, me ilichukua siku 5 za kazi tokea niliporudisha form, tawi la Chuo Kikuu UDSMHata wafanyakazi siku ni majanga matupu boss