CRDB Bank kuna nini kuhusu mikopo?

2G2011

Member
Joined
Dec 9, 2014
Posts
13
Reaction score
3
Jamani naomba kujua kama CRDB Bank wamesitisha kutoa mikopo ya watumishi na Biashara kwani nimeomba mkopo wa watumishi wiki ya tatu sasa bado hawajaingiza hela mpaka sasa wananipa story tu.
 
Jamani naomba kujua kama CRDB Bank wamesitisha kutoa mikopo ya watumishi na Biashara kwani nimeomba mkopo wa watumishi wiki ya tatu sasa bado hawajaingiza hela mpaka sasa wananipa story tu.
wanakupa story gani
 
Jamani naomba kujua kama CRDB Bank wamesitisha kutoa mikopo ya watumishi na Biashara kwani nimeomba mkopo wa watumishi wiki ya tatu sasa bado hawajaingiza hela mpaka sasa wananipa story tu.
Sasa si useme hiyo sababu
 
Mi nimeomba tokea mwezi wa nne tarehee za mwanzoni mpaka leo cheche ila nilijaribu kuwasiliana na kwa njia ya twiter majibu yalikuwa kama hivi
 
Huu uzi mbona ni kama umejirudia? ni kama nilishaona uzi wa hivi miezi kadhaa iliyopita.
 
Jamani naomba kujua kama CRDB Bank wamesitisha kutoa mikopo ya watumishi na Biashara kwani nimeomba mkopo wa watumishi wiki ya tatu sasa bado hawajaingiza hela mpaka sasa wananipa story tu.
Yaani wabongo shida sana, wewe umeomba mkopo benki ukiwa wewe na mhudumu/waudumu wa benki lkn unakuja kutuuliza sisi. Alafu unasema wiki ya tatu sasa kwani hukuuliza lini mkopo wako utakuwa tayari? Au baada baada ya kuandikiwa milioni kadhaa tu ukapagawa? Nina wasi wasi huu mkopo utaishia kununua smart TV
 
[emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CRDB kuna tatizo kuhusu mikopo na hawaeleweki wanachojibu pale wanapoulizwa kuhusu hili suala la kusuasua. Imekua benki ya ujanjaunja hawatoi majibu ya uhakika.

Watu wengine wanadhani huenda imefilisika haina uwezo wa kuhudumia wateja wao kwa pamoja. Kama ndivyo kwanini wanapokea maombi?

CRDB acheni uhuni toeni huduma kama taasisi inayoheshimika kwa muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…